Naungana na wote wanaopendekeza Dr. Ndalichako ateuliwe kuwa Mbunge na kisha apewe hiyo Wizara ya Elimu. Ili kuendana na kasi ya utendaji wa Dr. Magufuli na Ndalichako, nashauri Prof. Mchome arudishwe SoL UDSM na pale ateuliwe Dr. Pdr. Kitima aliyekuwa VC wa SAUT. Ninaiona Wizara katika mwanga bora chini ya watu hawa hasa Kwa kuwa tayari kuna mwanasiasa (mpiga porojo Eng. Manyanya) hawa kazi Yao moja tu, KAZI.