Recent content by bitemele

  1. B

    JamiiForums Tanzania Magufuli anga'ra urais 2015

    huyu dicteta, mbaguzi na mbinafsi kamwe hawezi kuwa raisi wa nchi hii ana laana ya wananchi wa jimbo la Biharamulo kwa kuwachakachuwa haki zao za kupata barabara ya lami na kuipindisha kwenda kupitia kwao chato
  2. B

    JamiiForums Tanzania Upendeleo nssf

    wewe kweli ---- kwani leo ndo umejuwa waislamu nchi hii wamenyanyaswa vya kutosha?????basi na waislamu wajitoe kwenye mashirika yanayoongoza kwa kuajri wakristo tu any way its too late waislam sasa wamezinduka na ss kazi kwenu
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kwa wasiomjua BENJAMIN MKAPA, tafadhali soma hapa!

    Huyu alikuwa safi maaskofu hawajamuandama kabisa kwa udini lakin jk wetu mhhhh
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mdahalo Shirikishi: Watanzania Waarab au Wahindi wako wapi kwenye uongozi wa taifa letu?

    Hivi ndivyo Wachina na wahindi wanavyotuibia kwa kukwepa kulipa kodi TRA Hivi karibuni nilioenda mitaa ya kitumbini kwenye maduka ya jumla kununua bidhaa za dukani kwangu na nilifanya manunuzi kwenye maduka ya wachina na wahindi. Nilinunua mzigo wa kama 11m lakini risiti halali za TRA...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Rage na mchango wa udini bungeni

    very true bro
  6. B

    JamiiForums Tanzania Rage: Mmebugi men....!

    tangu lini msomali akawa mnyamwezi??
  7. B

    JamiiForums Tanzania Filikunjombe: Serikali ya CCM imevaa miwani ya mbao

    huyu inabidi ahamie chama cha kikiristo cdm
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kwa wasiomjua Magufuli, Je, anafaa kuwa Rais?

    Jibu hoja kwani siyo kukurupuka sio kuwatukana wasubi na pia si muadilifu ki ivyo watu wanavyomdhania. Hapa Magufuli hajawatendea haki just jimbo moja tu la Biharamulo je akipewa nchi si ndiyo atakuwa Dictotor kama mobutu?
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kwa wasiomjua Magufuli, Je, anafaa kuwa Rais?

    Kimsingi magufuli ndiyo kasababisha Biharamulo imekuwa ngome imara ya cdm baada ya kuwanyanyasa sana wananchi wa biharamulo na kuona mahali pekee pa kujikomboa ni kupitia upinzani
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kwa wasiomjua Magufuli, Je, anafaa kuwa Rais?

    kaka unajidanganya sana how many tanzanians wana access facebook na wanahitaji kupewa habari na media?Kimsingi hawa ndo wapiga kura haswaa Tunahitaji kuwahabarisha mazuri na mabaya ya viongozi ili waamue.....
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kwa wasiomjua Magufuli, Je, anafaa kuwa Rais?

    mkuu tuna ushahidi mwingi tu alivyojiuzia nyumba za serikali kwa kupitia jina la mdogo wake, kuna watu wengi tu wa kabila lake walipata ajira TAN ROAD kupitia yeye..................
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kwa wasiomjua Magufuli, Je, anafaa kuwa Rais?

    mkuu ana mengi mabaya kama haya ambayo yanamnyima sifa ya kuwa rais nina amini bado kuna watu wengi wazuri hawajapata nafasi ya kuonekana kutokana na mfumo mbovu wa kupata viongoi wauzuri ndani ya chama tawala hivi nani aliekuwa anamfahamu mtu kama tundu lissu, mnyika?
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kwa wasiomjua Magufuli, Je, anafaa kuwa Rais?

    a True..... Huyu mtu ni mbinafsi,mkabila na mlipiza visasi na hii ndiyo sababu kubwa ya ccm kupoteza jimbo la Biharamulo na imeshakuwa ngome thabiti ya cdm mkoani kagera
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mh. Mbilinyi (Sugu) alipuka bungeni

    Mwi gu Ru kweli ni mpumbavu tu anafikiri anaweza kutuliza kasi ya kuikomboa nchi hii kutoka kwa mafisadi??
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba amekiri kuhusika na movie ya Lwekatare - ashikwe na kuunganishwa kesi hiyo

    Poor propaganda.................... Shonza an companies kachukueni posho zenu lumumba nyie ni choka mbaya
Back
Top Bottom