Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma ametangaza rasmi usiku huu kujiuzulu nafasi yake ya Urais na kuwashukuru wananchi kwa ushirikiano mkubwa waliompa wakati alipokuwa madarakani.Tukio hilo limerushwa live na TV ya afrika kusini SABC.
Nimejaribu kukiangalia kikosi cha zanzibar kwenye michuano ya kombe la chalenji inayoendelea nchini kenya ambako timu yetu ya Kilimanjaro stars imeambulia patupu, ninashauri kocha wa Stars ateue kikosi kizima cha Zanzibar kilichotinga nusu fainali kiwe ndio Taifa Stars yetu, hii ni kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.