B bitekutecha Member Joined Nov 5, 2017 Posts 15 Reaction score 6 Dec 10, 2017 #1 Wakuu nimearifiwa kuwa Zanzibar heroes huenda wakapangiwa Uganda nusu fainali ya kombe la chalenji baada ya kuonyesha kiwango kizuri.
Wakuu nimearifiwa kuwa Zanzibar heroes huenda wakapangiwa Uganda nusu fainali ya kombe la chalenji baada ya kuonyesha kiwango kizuri.
BlackPanther JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 9,554 Reaction score 9,246 Dec 11, 2017 #2 LEO: 5 Rounds ZNZ - LIBYA 14:00 TANZANIA - KENYA 16:00
J Jamal H Member Joined Dec 10, 2017 Posts 7 Reaction score 4 Dec 12, 2017 #3 Hatuna wasi wasi na zanzibar heroes juu ya Uganda naamini tunawapiga japo kwa matuta
BlackPanther JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 9,554 Reaction score 9,246 Dec 12, 2017 #4 Zanzibar/Barca ya east afrika katika ubora wenu pigeni hao kama mlivyowabamiza taifa stars....tena nyingi. 😀 My prediction: Znz 3-1 Ugd...kila la heri znz!!
Zanzibar/Barca ya east afrika katika ubora wenu pigeni hao kama mlivyowabamiza taifa stars....tena nyingi. 😀 My prediction: Znz 3-1 Ugd...kila la heri znz!!
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 18,280 Reaction score 26,082 Dec 13, 2017 #5 mshindi wa kwanza anacheza na mshindi wa pili wa kundi jingine wala sio maswala ya kiwango bora