Asante kwa jibu lako zuri nimekuelewa, japo nina swali lingine. Kipindi cha nyuma nilikuwa na uwezo wa kukumbuka kila kitu mwalimu lichofundisha darasani yaani nikifika kwenye mtihani nakumbuka jinsi aliyokuwa amekiandika ubaoni ni kama nahamisha tu. Niliupofika Sekondari hiyo hali ikapotea...
Samahani naomba kujua jambo, kipindi nikiwa mdogo wa kama miaka 12 au 13 niliwahi kutumwa mashineni kusaga unga na siku hiyo kulikuwa na foleni hivyo ilinipeleka kuchelewa kutoka mashineni. Niliondoka giza likiwa limeshaingia hivyo nje kulikuwa kunatisha kwa sababu ni eneo lenye migomba mingi...
Hivi PASADENA uliandikaje tena kuhusu timu yako ya mchongo? mwaka huu munachukua makombe mangapi vile? labda kombe la chai yaani munatia huruma sana kwa kweli ni aibuu aibu yako. Eti timu inabadilisha makocha zaidi ya unavyobadilisha boxa haya rudi kaandike tena upupu wako, kolo la mwisho wewe
Binafsi napenda Chanika zaidi, kumechangamka sana hasa ukiwa unahitaji kufanya biashara basi hapo ni mahali sasa kabisa. Kuna hali ya hewa nzuri sana na Mji wake unakua kwa kasi, kama huna usafiri binafsi basi Chanika usafiri ni wa uhakika kwa saa 24. Chanika ni the best kwa upande wangu.
Ilinitokea hiyo mwaka juzi sitasahau gari yetu ilipogonga fuso lililoharibika barabarani tena kwenye muinuko ikapelekea mimi kuvunjika mguu mpaka leo ni chuma mguuni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.