Kero: Tamisemi Utumishi wameshindwa kuhamisha taarifa za mishahara ya watumishi waliohama.
Watumishi wanahangaika Huko na huku bila msaada ,ikiwa mtu amepata UHAMISHO halali kwa Nini zoezi tena lakuhamisha taarifa zake ahangaike kiasi Cha zaidi ya Miaka.
Huu ni uonevi kwa watumishi , sio...
Na mimi ndicho ninachopitia kwa sasa yaani unapita huku mara kule lakini wapi , afisa utumishi wangu ninakotoka anasema tayari amefanya kazi yake , TAMISEMI sasa kuapprove imekuwa nongwa , daah moorali ya kazi hakuna kabisa
Bado kitambo kidogo tu ,,, huu ujinga unaoendelea hapa nchini Tz !! Amini nakwambia wimbi la vijana wasio na ajira wanajitafuta alafu wanakutana na ukiritimba mkubwa na manyanyaso ya serikali na baadhi ya viongozi kujilimbikizia mali,
Vijana Hawa wamekata tamaa hawaioni kesho Yao , wanaona...
MWAUWASA( Mwanza Nyamagana ) acheni wizi kubambikizia bili za Maji Wateja na urasimu kwenye mchakato wa kuunganishwa Huduma ya Maji. Inaumiza wananchi au mnataka wananchi waingie barabarani kama Kenya ndio mjue maumivu mnayowapa wananchi kwa bili za uongo?
Pia soma - MWAUWASA: Mwanza hakuna...
Huu Uzi umfikie mama yetu Samia suluhu Hassan,,,
Lakini pia watanzania tuendelee kumuombea kwa kujitoa kwake bila woga kufanya maamuzi magumu yanayolenga kutatua changamoto za wananchi na sio kulinda watawala.
Makonda piga kazi tunakukubali
Nchi yetu Bado inahitaji viongozi wa Kariba yako ...
Nyumba inauzwa viwanja viwili ndani ya fence .
Vyumba vya Kula 2 self
Chumba Cha Kulala Cha nje 1
Sebule na dinnning
Public toilet
Fence
Eneo 57*35
Location.
Bendera tatu /BugandoHospital - Kona ya mzungu_ Mwanza _ wilaya ya nyamagana
Price 25milioni.
Nyumba inauzwa viwanja viwili ndani ya fence .
Vyumba vya Kula 2 self
Chumba Cha Kulala Cha nje 1
Sebule na dinnning
Public toilet
Fence
Eneo 57*35
Location.
Bendera tatu / Kona ya mzungu
Price 25milioni.
Majina ya uhamisho kwa January Hadi March yanatoka June mwishoni baada ya waajiriwa wapya kuripoti vituo vya kazi ili kubalance upungufu ungeweza kujitokeza.
Ahsante mkuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.