Bitcoinbase
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 319
- 285
Ni mdau wa kutumia miwani kutokana na changamoto ya macho niliyonayo , Sasa Kila nikivaa muda mrefu , nikija kutoa inabaki alama (black marks ) kwenye sides za nose brigde, Kama Nina vidonda vile ...
Hivi husababishwa na Nini ! Na Nini Cha kufanya kuepukana nazo ,,,
Je kwa Nini mbona nahisi inanitokea Mimi tu au Kuna amewahi experience hii changamoto ?
Naombenibushauri ?
Hivi husababishwa na Nini ! Na Nini Cha kufanya kuepukana nazo ,,,
Je kwa Nini mbona nahisi inanitokea Mimi tu au Kuna amewahi experience hii changamoto ?
Naombenibushauri ?