Recent content by bisti

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kweli nimeamini hakuna kitu muhimu kama kuwa na amani ya moyo

    Ucjal mkuu tunashauriana mawazo huru. Mkuu kweli nampenda na si kimapenzi tena maana tumekua ni watu ambao tunaweza rudiana ila chokochoko zinakua nyingi sana maugomvi hayaishi binafsi hali hiyo imenichosha na amani nimekosa piah.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kweli nimeamini hakuna kitu muhimu kama kuwa na amani ya moyo

    Ni kweli mkuu nimejaribu sana kurudisha moyo lakini nimeshindwa kabisaa yaan nikaona nisijitese kupretend love wakati sina amani. Nataka nikiwa inlove bas iwe ni really bila kujali lolote na si kupretend
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kweli nimeamini hakuna kitu muhimu kama kuwa na amani ya moyo

    Mkuu hiyo wanayoita karma sijui kama ikija sawa lakini amani ya moyo wangu ndo kila kitu maana kama ni kuzngua yeye ndiye aliyeanza sasa niishi na mtu wakati moyo wangu haujaridhia kila nikijarbu kusahau0 na kua happy nashindwa afu nikae nae tu inasaidia nini? Isitoshe siamini katika karma...so...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kweli nimeamini hakuna kitu muhimu kama kuwa na amani ya moyo

    Habarini za asubuhi wanajamvi wa hili jukwaa ni asubuhi bado na mda wa kuanza pilika ndo huu lakini nimeona kushare nanyi swala langu hili kidogo. Binafsi nimewahi kua kwenye mahusiano ya mapenzi na binti mmoja na lengo letu lilikua ni kufika mbali kabisa, lakini kutokana na changamoto...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    Mimi.. Mungu ni mwema siku zote
  6. B

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Ahahahaahah
  7. B

    JamiiForums Tanzania Tunauza maziwa fresh

    Nahtaji maziwa mtindi lita kumi chap
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kanuni 10 za kufuata kuongeza ukubwa wa uume kwa asili

    Andika kiswahili fasaha mkuu dick ndio nini?
  9. B

    JamiiForums Tanzania Toka nianze kuangalia soka sijawahi kumsikia mtangazaji mnoko kama huyu wa Azam

    Ahahahahahah duuh hatari sanaa
  10. B

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Mkuu piga kazi Acha porojo zako
  11. B

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Umoja wa Afrika wamuita Trump na kumpatia sharti hili

    Watapoteza mda tu na rasilimali za mkutano ni vyema washughulikie matatizo ya Nchi zetu hayo mengine wakaushe
  12. B

    JamiiForums Tanzania Hii tabia mpya ya dada zetu kusahau kuvaa kufuli naona imeota mizizi huku makazini

    Dada mzuri na mtanashati eehhh
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kutoka dimba la Taifa: Simba SC watakata! Wairarua Singida Utd goli 4 kwa nunge, wajikita kileleni kwa alama mbili zaidi

    [emoji1] [emoji1] mimi nakula mafao tu baada ya utumishi uliotukuka.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kutoka dimba la Taifa: Simba SC watakata! Wairarua Singida Utd goli 4 kwa nunge, wajikita kileleni kwa alama mbili zaidi

    Mkuu naomba nije tukae wote kama upo hapa uwanjani tayari.
Back
Top Bottom