Recent content by bissmark marktosh

  1. bissmark marktosh

    JamiiForums Tanzania Mapenzi: Kuna wanaume wanaopendwa na kukataa

    Hata niwe na manzi kali kiasi gani kama atatokea mwenye nyaa siwezi mwacha ngoo laxima nimngoe
  2. bissmark marktosh

    JamiiForums Tanzania Miaka 19 ya Kifo cha Tupac, Ipi ni Nyimbo Bora Zaidi Unaikubali Toka Kwake?

    Album yake ya black Jesus yaani ndo hivyo
  3. bissmark marktosh

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko

    Toka enzi za Uhuru wa tanganyika kutoka kwa wakoloni wa kiingereza chini ya utawala wa malkia tukiwa na chama chetu cha tanu chini ya mwavuli wa mwalimu nyerere tukaja na asp chini ya mapinduzi ya kungoa utawala wa kisultani na kuiunganisha Tanganyika na Zanzibar na kuwa Tanzania toka wakati huo...
  4. bissmark marktosh

    JamiiForums Tanzania Pigo la kwanza: Arusha mjini na Hai kurudi CCM!!

    Chuga home my sweety home hapa ndo upinzani wa kweli ulipo hatuitaji rushwa ya Unga wa mahindi kwa monaban tunayataka Mabadiliko' OK?lema is our mp.
  5. bissmark marktosh

    JamiiForums Tanzania Ewe mtanzania usipoteze kura yako kumpa Lowassa

    Mtaalamu wa kemia aliye kunywa dawa isiyokuwa na formular
  6. bissmark marktosh

    JamiiForums Tanzania Nimeambiwa kuna kundi jingine kubwa tu wanajiita kizazi korofi

    Kuna walijiita mafia na mamasta pia
  7. bissmark marktosh

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Lowassa awataka Walutheri wampe Kura nyingi awe Rais wa kwanza Mlutheri

    Huu Uzi niwakutengeneza na siasa za udini wanazo hao jamaa zetu wa miaka hamsini na ushe....
  8. bissmark marktosh

    JamiiForums Tanzania Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

    Okoa twiga kwa vizazi vijavyo
  9. bissmark marktosh

    JamiiForums Tanzania Utabiri wangu kuhusu Mbowe

    Ya just like a fool, a fool completly
  10. bissmark marktosh

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa avuliwa nguo, dili alilipanga Josephine. Alonga na Mwakyembe kabla hajaingia kwenye mkutano

    Hivi uchumba wa uzeeni ukoje tena mchumba mwenyewe mnaamkia chumba moja ha ha ha ha ha hii ni hatareee!
  11. bissmark marktosh

    JamiiForums Tanzania Ishara ya kifo imetimia, CCM imeng'oka leo rasmi kwenye medani za siasa Tanzania

    NHC na political interprenuareship ya pombe magufuli
  12. bissmark marktosh

    JamiiForums Tanzania Easy to discuss other people & their lives

    Ya make up drive 'em crazy lol!
  13. bissmark marktosh

    JamiiForums Tanzania Kuipigia kura ukawa unatakiwa kama mwendawazimu

    Hata useme Nn cc ni mabadiliko hatuhitaji Sera wala ilani kaa nazo ww, tunalia na mabadiliko kuwekana kwa ajili ya kulindana na mfumo kwa miaka hamsini+inatosha sasa
  14. bissmark marktosh

    JamiiForums Tanzania Sitta Ataka Mdahalo na Lowassa Kuhusu RICHMOND; Asisitiza Kuwa Lowassa ni Fisadi!

    Mbona Sita umewahi kutuhumiwa kujenga kasri yake kwa mamilioni ya shilingi?
  15. bissmark marktosh

    JamiiForums Tanzania Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

    Wewe bogus kwenu mmeacha mila kandamizi?
Back
Top Bottom