Recent content by Bishop Mafie

  1. Bishop Mafie

    JamiiForums Tanzania Umahiri si tukio—ni tabia ya kila siku

    UMAHIRI SI TUKIO—NI TABIA YA KILA SIKU Viongozi mahiri hawasubiri kuambiwa cha kufanya. Hutambua yanayopaswa kufanyika mapema, huendelea kujiboresha, hukubali maoni kwa unyenyekevu, huwajibika kwa matendo yao, na hudumisha viwango vya juu hata pale ambapo hakuna anayewaona. Umahiri hujengwa...
  2. Bishop Mafie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania Tukikohoa Mnaitika

    Very talented. I love his heart, too.
  3. Bishop Mafie

    JamiiForums Tanzania Heri ya Mwaka Mpya, 2018!

    Ndugu Mpendwa, Amani iwe nawe! Tunamtukuza Mungu kwa Mwaka Mpya 2018. Tumeona miaka ikianza na kumalizika kwa kadiri Mungu atupavyo neema. Suala la msingi ni kutafakari pia 'tunawaza nini juu ya BWANA', katika maisha yetu; *Kuinuliwa, kutiwa nguvu zaidi, kufanikiwa, au kubarikiwa, na hatua...
  4. Bishop Mafie

    JamiiForums Tanzania Tablet inahitajika haraka

    Good advice!
  5. Bishop Mafie

    JamiiForums Tanzania Magari ya polisi aliyokarabati Makonda yanazidi kumpa kiki

    Nadhani anafaa TAMISEMI. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Bishop Mafie

    JamiiForums Tanzania Tunamfahamu The Late Dr.Myles Munroe?

    Ni mmoja kati ya watu walioishi na kulitenda kusudi la kuwepo kwao Duniani; ameweza kuishi na kuendelea kuishi hata ajapokuwa hayuko duniani, aliyoyanena na watu walioyapokea na kutumia mifano hai na mafundisho, wanaendelea kufanya sehemu ya yale aliyokuwa na shauku kuyaona yakitendeka kwa...
  7. Bishop Mafie

    JamiiForums Tanzania Tunamfahamu The Late Dr.Myles Munroe?

    NDIYE
  8. Bishop Mafie

    JamiiForums Tanzania Misemo kutokana na Vichwa vya Treni

    Ama kweli, Jamii Forum!
  9. Bishop Mafie

    JamiiForums Tanzania Je, unahitaji translation au editing

    Okay.
  10. Bishop Mafie

    JamiiForums Tanzania Je, unahitaji translation au editing

    Nipo Arusha. Vitabu vidogo vya Kidini utatafsiri kwa gharama na muda gani? Mfano: 24 pages.
  11. Bishop Mafie

    JamiiForums Tanzania Je, unahitaji translation au editing

    Unapatikana wapi?
  12. Bishop Mafie

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Upinzani walipuka bungeni, waimba wana imani na Mkapa, Kikwete

    Kwa namna Upinzani wa sasa Nchii hii unavyofanya mambo yake, na ikiwa utaendelea kuwepo huuhuu, tutarajie siku zijazo wakaimba wimbo huohuo kuwa wanamuelewa na wana imani na Rais Magufuli. Nadhani ni vema Wapinzani wasiwe 'wasahaulifu' wa walichowahi kukisema, wajitathmini mara kwa mara na tuone...
  13. Bishop Mafie

    JamiiForums Tanzania Tanzanian Government Accuses Acacia of Mining Gold Illegally

    Barua ya tarehe 29 May 2016, na inasema imetambua kupokelewa kwa barua ya May 2017. Huu nao basi ni ujinga.
  14. Bishop Mafie

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mwisho ya Muammar Gaddaffi

    Afrika ilipoteza Kiongozi. Kiongozi Shupavu. Viongozi wa namna hii hawatokei mara nyingi, ila wajapotokea, watapingwa ila watatimiza makusudio yao; watapingwa ila maneno na matendo / kazi zao zitabaki zikiwa hai na zikitoa sauti kuthibitisha Uongozi wao hata wajapokuwa hawaishi tena. Naitakia...
Back
Top Bottom