Tunamfahamu The Late Dr.Myles Munroe?

Tunamfahamu The Late Dr.Myles Munroe?

Baada ya kumfuatilia kwa miaka kadhaa nimeona si mbaya kumleta jamvini kwa wanaomfahamu na wanaopenda kumjua pia.Dr myles munroe(from bahamas) ni mmoja kati ya great mentors ever lived for his motivations and educations!kwa wasiomfahamu unaweza mtafuta youtube,google.Pia ana app yake unaweza idownload playstore "Dr myles munroe".Naomba wanaomfahamu tushee hapa tuliyojifunza." Dont make a permanent solution to a temporary problem" one of his best quotesView attachment 537614
Shukrani mkuu! Nimedownload app yake iko vizuri sana.
 
Steve13, mipango ya Mungu ni ili makusudi yake yafanikiwe.

Biblia inasema akina Musa walikufa kwa sababu ya uzee na kwa amani (sina hakika kama nimetumia maneno sahihi)

Kuna nabii mmoja kwenye biblia alitumwa na Mungu akatoe ujumbe kwa mtu fulani, kwa sharti la kutokula kitu chochote. Yule nabii alifikisha ujumbe na mwenyeji wake akamsihi sana ale chakula. Nabii aligomagoma lakini mwisho wa siku alikubali kula.

Mungu alimwambia atakufa na maiti yake italiwa na Mbwa nyikani. ( Nilisoma hiki kisa zamani, inawezekana nimesahau baadhi ya vitu)

Swali langu, kwa wajuzi ni kwanini mtumishi wa Mungu afe kifo cha aibu? ( Kifo cha Yesu kilikuwa tofauti kwa sababu utabiri ulikuwa unasema hivyo, kwa hivyo tusilinganishe)
Nimekuelewa vizuri sana mkuu.napenda watu wanaojenga hoja kama wewe,umeanza vizuri.nakumbuka hata stefano alipigwa mawe,na swali la nyiongeza ni kwanini watumishi wengi wa dini hufa vifo vya mitindo hii!!!naamini tutaelimishwa na wataalam sir with love.asante kwa kunifungua macho vizuri,ngoja tuwaulize mkuu
 
Pamoja mkuu, nlimfahamu akiwha hai na mlikuwa mfuatiliaji mzuri sana wa talks zake! Nliumia sana nliposikia amepata ajali ya ndege na kufariki.
Japo hatunae tena lakini mafundisho yake bado yanaishi.
 
Pamoja mkuu, nlimfahamu akiwha hai na mlikuwa mfuatiliaji mzuri sana wa talks zake! Nliumia sana nliposikia amepata ajali ya ndege na kufariki.
Japo hatunae tena lakini mafundisho yake bado yanaishi.
Pamoja sana.zile talks zake kwa jina moja la kidini zinaitwa sermons mkuu
 
Bishop unamzungumziaje huyu mheshimiwa?
Ni mmoja kati ya watu walioishi na kulitenda kusudi la kuwepo kwao Duniani; ameweza kuishi na kuendelea kuishi hata ajapokuwa hayuko duniani, aliyoyanena na watu walioyapokea na kutumia mifano hai na mafundisho, wanaendelea kufanya sehemu ya yale aliyokuwa na shauku kuyaona yakitendeka kwa Utukufu wa Mungu na wala sio wa mtu binafsi.
 
Amina mkuu
 
Back
Top Bottom