Recent content by BIREGU

  1. BIREGU

    Wanawake jiheshimuni!

    Huu ndo ujinga kwa baadhi ya watu kwani hili hawalifanyi kwasababu ya jinsia yao bali kwa Upumbavu wa wale wafanyao hivyo
  2. BIREGU

    Natafuta windows 8 ya kununua

    Nenda Kwa madila wa Microsoft
  3. BIREGU

    Cheti cha ndoa

    Nilifunga ndoa ya kiserikali na mke wangu miaka 7 iliyopita na tulipata watoto2 ingawa baada ya miaka miwili tulitofautiana tukatengana(sio kisheria) bahati mbaya mke wangu alifariki miaka 2 iliyopita akiwa sehemu alikokuwa anfanyia kazi na ndie aliekuwa anakaaa na cheti cha ndoa ,kwakuwa...
  4. BIREGU

    Funguka ki-it mtanzania

    Nimeona mwanzo mzuri ila funguka zaidi!!
  5. BIREGU

    Natafuta sehemu ya field kwa IT

    Utapata tu! ila Bongo na makampuni ya software inabidi utatafute asa
  6. BIREGU

    Linaniumiza kichwa

    Pole sana ndugu,ebu jaribu kumuuliza vizuri na kisha mueleze wasiwasi wako kwani inawezekana hayupo hivyo umfiririavyo
  7. BIREGU

    najuta kukutana na Huyu mwana JF

    unachezea bata weye!!
  8. BIREGU

    TTCL washusha bei ya Internet

    kupunguza bei sio tija,angalieni speed ya hiyo internet.kwani ninvyo wajua wanapunguza bei na speed yake pia.
  9. BIREGU

    Msaada juu ya sound driver

    Inafaa useme ni aina gani ya laptop yako na namba zake ndo tunaweza kukusaidia
  10. BIREGU

    Kwa nini watanzania tunatabia hii?

    Sio vibaya kulinganisha vitu vya ndani na vinavyotoka nje ya nchi,lakini pia uwezi kulazimisha mtu apende vitu kutoka ndani atakama ni vibovu eti ni kwakuwa ni vyatanzania,njia mojawapo ya kuondoa ili tatizo nikuwana vitu vizuri na madhubuti kwani hapo ndo tunaweza kujisikia vizuri kupenda vitu...
  11. BIREGU

    hivi niviiteje kwa kiswahili?

    Mhh sijui atakimoja kinaitwajwe kwa kiswahili,wacha tuwangoje wenye kiswahili
  12. BIREGU

    Natafuta mwanamme kuwa mme baadae

    MHHHHHH,iNAONYESHA WEWE NI MAARUFU KWA MITEREMKO
  13. BIREGU

    Jambo

    Jambo sana
  14. BIREGU

    Sijui nimwambie

    mkonowapaka upaswi kutoa hukumu kwa mdogo wako,lazima ujilidhishe kama kweli huyu nimsemae ndio mke wako kweli,vinginevyo utakuwa unadandia karandinga la polisi
  15. BIREGU

    Sijui nimwambie

    Nimezingatia ushuri wako Snowhite ,Nimeondoa jina la mtoto
Back
Top Bottom