Sijui nimwambie

Sijui nimwambie

Registered Members: 115,572.. kama kaka yako wa India sio memba ni bahati.. kama ni memba akifeli huko masomoni sababu itakuwa ni wewe BIREGU, siku nyingine usipende kueleza kila kitu kwenye mitandao dunia sasa hivi ni kama kijiji tu.
 
Last edited by a moderator:
unajua mwanaume na mwanamke tofauti zao zipo hata kwenye shingo!
hebu hakikisha hilo!
ni hivi huna haja ya kumwambia kakako since umeshajua la kufanya kumuepuka shemeji yako!
huna sababu ya kumwambia kakako!
wil u please kuondoa jina la mtoto ,incase of anything!india ni mbali lakin jf inafika huko!lol

Maneno ya busara haya nimeyapenda.
 
Hii thread napita km vile sijaiona..............unashindwa uanzeje ku-comment, maana unapomaliza kusoma mwili wote unakuwa umepigwa ganzi vile............hadi pumzi unaishiwa kabsa!!
 
As long as ushaikimbia zinaa,dont tel ur brother nothing
 
Bwana mdogo shemeji yako anasumbuliwa na upweke kwa sababu kaka yako yuko mbali.Mimi nakushauri mgonge huyo shemeji yako maana ina onyesha ana n.ege sana usipomgonga ataenda kuwagawia wengine halafu itakuwa hatari kwa kaka yako kwani anaweza kumletea magonjwa, mimi nakushauri kula huo mzigo kwa kutumia ndom tena huyo amekuwa muungana amekufuata wewe kaka mtu, mwingine angetafuta nje wala wewe na kaka yako msingejua.
 
mkonowapaka upaswi kutoa hukumu kwa mdogo wako,lazima ujilidhishe kama kweli huyu nimsemae ndio mke wako kweli,vinginevyo utakuwa unadandia karandinga la polisi
 
Sijui nisemeje,leo nimekutana na jamaa yangu wa siku nyingi ananiomba ushahuri kwa jambo kama hili hili.ana tatizo sawa na lako ,lakini nimemwambia vilevile amwambie ukweli kwani ukweli unaweka huru.
 
Kaka yangu yupo masomoni ng'ambo Tangu mwaka jana,mwaka huu mwezi wa 10 atarudi likizo.Lakini mimi natamani arudi mapema nimwambie mambo ya mke wake.alipo kwenda huko aliniachia familia yake niwe namuangalia shemeji kwa maana ya kujua maendeleo yake pamoja na mtoto ( mwanae).Lakini siku moja shemeji yangu alinipigia simu akinitaka niende kwake usiku wa saa 5 na nusu kuna kitu anataka aniambie.nikatafuta usafiri nikafika kwake ,nilipofikatu na kugonga mlago alinifungulia na tukakaa sebureni lakini nikamuona kachangamuka sana,kama kalewa hivi!kisha akakaa kochi la mbele yangu yaani tukiwa tunatazamana.akaanza kwa kuniita shemeji kisha jina langu nimekuita nikwambie siri yangu,na sinabudi nikwambie tu vinginevyo nitazidi kuteseka,Unajua nakupenda sana alisema na natamani muda huu ambao kaka yako ayupo tujivinjari na itakuwa siri yetu,usidhani natania nimedhamilia na sikuwahi kuwa na nafasi ya kukueeleza haya.Nikapigwa butwaa na sikuamini maneno yake.Nikamsii sana anipe muda nilifikilie hilo.Ni mwezi sasa nahakikisha nikienda kwake nakuwa na marafiki zangu wawili au watatu,lakini ananisumbua sana kwenye simu akitaka nimpe jibu.Sasa wana janvi nifanyeje? kunawakati natamani nimwambie kaka akiwa huko huko,lakini najua anampenda sana mke wake nitamchanganya,na akirudi nitawezaje kumwambia wakati naogopa kuwa chanzo cha mwisho wa ndoa yao.najua aiwezekani kuanza mahusiano na mke wa kakaangu,ila kwangu nivigumu kumwambia kwani sijui atachukua hatua gani.Ushauri wenu jamani.
mchimbe biti utamweleza bro wk kila kitu
 
Una akili sana wewe. Mkuu usivunje ndoa ya kaka yako. Aliyokwambia shemeji yako kamwe usije kumwambia kaka yako utaiwekea ndoa yao dosari kubwa sana na hata kuivunja.

Duuu..kuvunja ndoa sio vizuri hivyo sishauri umwambie kakako.. Inawezekana shemeji yako kazidiwa tu na tamaa za mwili na ipo siku she will come back to her senses.Mwite mahali umtishie kuwa akiendelea na tabia hiyo basi hutasita kumwambia mumewe..Endelea kuepuka faragha nae maana anaweza kukutega
 
Duuu..kuvunja ndoa sio vizuri hivyo sishauri umwambie kakako.. Inawezekana shemeji yako kazidiwa tu na tamaa za mwili na ipo siku she will come back to her senses.Mwite mahali umtishie kuwa akiendelea na tabia hiyo basi hutasita kumwambia mumewe..Endelea kuepuka faragha nae maana anaweza kukutega

akimtishia tuu atamgeuzia kibao kwa kaka yake kuwa yeye ndio anatongozwa.. Ionekane dogo ndio anamtaka mke wa kaka... Amrekodi maongezi yake,sms kama zipo... Kaka ake akirudi tu alifumue.. ILA AWE NA USHAHIDI
 
Ningekuwa mimi ningeduu nae kwa mkataba.kwamba kaka akirudi hakuna kuduu tena.huyo mama mstaarabu sana,kaona badala ya kumpa mtu wa mbali,bora akupe wewe shemeji.yaani mambo yote ndani kwa ndani.
 
dah!! pagumu hapo, usipomgonga ww atagongwa na wengine ..........
 
We mwambie tu. Unaogopa nini?????? Ila kuwa makini sana katika hilo.SAWA?
 
Go west go east hakuna kucheza mbali na dushelele langu ..chezeya nyege wewe!



Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom