Recent content by Biqo

  1. B

    JamiiForums Tanzania Vipi Mshahara wa mwezi Agosti ushatoka?

    nimecheki asb hii
  2. B

    JamiiForums Tanzania Vipi Mshahara wa mwezi Agosti ushatoka?

    nimecheki asubuhi hii.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Vipi Mshahara wa mwezi Agosti ushatoka?

    CRDB mimi nimepata sijui wengine
  4. B

    JamiiForums Tanzania Aliyebuni mfumo wa namba za Magari alikosea

    UPo sahihi japo marekebisho kidogo 100 hadi 999 kuna namba 900 na siyo 899. Hivyo 9*10*10 = 900 24*24*24=13824 900*13824=12,441,600. kwa hiyo kwa huo mfumo unaweza kusajili magari 12,441,600
  5. B

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa maduka Arusha kiama chaja watakiwa kuondoka

    Kakosea ni Elfu hamsini siyo milioni hamsini. Sikiliza video hapo juu
  6. B

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Arusha DC Nije moshi manispaa. Idara sekondari.
  7. B

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Arusha DC Nije moshi manispaa. Idara sekondari. 0621156160
  8. B

    JamiiForums Tanzania HongKong: ⁠⁠⁠Ndege Yastaafu baada ya kufanyakazi kwa miaka 37 na kuruka kwa masaa milioni 3.1

    Hiyo ndege ilikuwa inaruka masaa mangapi kwa siku? Mbona miaka 37 haifiki masaa milioni 3.1?
  9. B

    JamiiForums Tanzania Wadau mnisaidie katika hili la kuacha kazi

    Poleni kwa majukumu ya kila siku. nafanya kazi katika shirika moja binafsi kwa mkataba wa miaka miwili na ktk mkataba huo ili uresign unatakiwa utoe notice ya miezi 3 au uache/ ulipe mshahara wa mwezi mmoja. sasa nimeandika notice ya mwez mmoja na wameniambia hawatanipa mshahara mwezi huu. swali...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Wadau mnisaidie katika hili la kuacha kazi

    Poleni kwa majukumu ya kila siku. Nilikuwa nafanya kazi katika shirika moja binafsi kwa mkataba wa miaka miwili na ktk mkataba huo ili uresign unatakiwa utoe notice ya miezi 3 au uache/ ulipe mshahara wa mwezi mmoja. sasa nimeandika notice ya mwez mmoja na wameniambia hawatanipa mshahara mwezi...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Wakali wa Hisabati Part II

    salum ana miaka 15 sasa na baba miaka 35.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi huogopa Hesabu?

    Coordinates of the point on a line y=2x +5 closest to origin is (-2,1)
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi huogopa Hesabu?

    Coordinates of the point on a line y=2x +5 closest to origin is (-2,1). upo hapo
Back
Top Bottom