Huyo atakuwa mgonjwa wa akili na atakuwa anasumbuliwa na ugonjwa ambao kwa kitaalamu unaitwa "Schizophrenia ". Mpeleke hospitali kama Mirembe, Dodoma au Kigoma kuna kituo cha Brothers of Charity (wakatoliki) kiitwacho Kasaka mental health center. Atasaidiwa huko vizuri kuliko hospitali za...
David Kafulila ni mbunifu, mchapa kazi, mwadilifu na anayetumia hekima katika maamuzi yake. Acheni majungu na wivu. He is one of the best performing Regional Commissioners. Mti wenye matunda lazima urushiwe mawe.
Punguza ukabila. Jina lako na fikra zako tu zinaonyesha wewe ni kundi lile la kanda ya ziwa. Hizi fikra zimeletwa na Magufuli, za kutaka kutugawa Watanzania. Mshindwe na nguvu zenu za kiza na mawazo finyu.
Wakati mwingine hoja siyo kutokujiamini, bali sababu inaweza kuwa pia mila na desturi; ambapo kuangalia sana mtu usoni inaweza tafsiriwa kama ukosefu wa adabu.
Haiwezekani mtu ulipie visa, ubalozi ukosee (mfano Jina au tarehe)katika kuandika visa, halafu ukiwaambia warekebishe wanasema ulipie upya. Huo ni utapeli na haileti taswira nzuri kwa nchi.
Kama ndiyo utaratibu wa Balozi zetu kulipisha watu mara mbili wakati kosa ni la ubalozi, mamlaka husika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.