Recent content by binyampo

  1. binyampo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata imei unapopoteza simu

    hapo namba2 ya TCRA kuna gharama zozote?!
  2. binyampo

    JamiiForums Tanzania Tigo, kwa wizi huu nawashtaki mchana kweupe!

    usijaribu ukiwa nje ya mji!
  3. binyampo

    JamiiForums Tanzania Hii movement ya fans wa CHADEMA kwa Wasanii inanichekesha

    leteni link nkawachague wanaojielewa huko akina WIZ
  4. binyampo

    JamiiForums Tanzania Hivi Dkt. Magufuli usiku hurudi kujisikiliza alichoongea mchana kwa umma kabla hajalala?

    tatzo jamaa anafosi kila kitu. anafosi kuchekesha kumbe ndo anaharibu.
  5. binyampo

    JamiiForums Tanzania JKT 2020 wa kujitolea jiandaeni maana tayari wametoa link

    wapo kweli???
  6. binyampo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Wataalamu habari ya jioni!! samahani naomba kufahamishwa kuhusu hili jambo. nikipiga simu naandikiwa hivi: CONDITIONAL CALL FOWARDING ACTIVE. hii ina maana gani wakuu??? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. binyampo

    JamiiForums Tanzania Bashir Yakub: Nitayashitaki makampuni manne ya simu

    hawana kikomo kivipi??!! mbona wanavyo vya wiki,mwezi,siku
  8. binyampo

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

    hki chombo ipo siku
  9. binyampo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    msaada mwenye link ya Gb Whatsapp last updated
  10. binyampo

    JamiiForums Tanzania Kanuni 12 muhimu za kuzingatia kuhusu pesa

    nimeingiza kitu ubarikiwe[emoji120]
  11. binyampo

    JamiiForums Tanzania Makabidhiano ya pikipiki baina ya tajiri na bodaboda

    hakika mkuu wasiwasi wako unatokana na nini[emoji15][emoji15][emoji15]
  12. binyampo

    JamiiForums Tanzania Makabidhiano ya pikipiki baina ya tajiri na bodaboda

    uwezi amini najiona tajiri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  13. binyampo

    JamiiForums Tanzania Makabidhiano ya pikipiki baina ya tajiri na bodaboda

    Ninaomba kufahamu utaratibu wa kukabidhiana pikipiki kwa mkataba. Nimenunua kapikipiki sasa nahitaji kumkabidhi bodaboda ni utaratibu upi wa kufuatwa lengo likiwa baada ya kurejesha kwa Muda kadhaa pikipiki inakuwa yakwake ahsanteni na karibu wajuzi wa mambo
Back
Top Bottom