Pole sana madam Mwenyezi Mungu akutie wepesi hela ya NSSF itoke unyanyuke tena, nakumbuka mama yangu aliwahi niambia usikubali kuacha kazi kwa kushawishiwa utateseka sana acha kazi kwa hiyari yako hutoteseka, huu usemi natembea nao kama sala ya baba yetu .
Asante kwa elimu nzuri kwakweli imenisaidia mahali nilipokuwa nimepanga kila ikifika jioni kuna sauti za waduuu walikuwa wakiliia kwenye dirisha kila siku tena wanatoa sauti za kusumbua hata kulala huwezi unaamka na kuhangaika kulikagua dirisha lakini simwoni huyo mdudu nikakumbuka mada ya...
Pole sana mamy hakika inahitaji ujasiri kupambana na mume mroho kama huyo.;;;;Rafiki yangu aliwahi kukutwa na kadhia kama hii alimtext mume wake kuwa" kila mtu achepuke kwa muda na wakati wake na arejee nyumbani kulea familia".
Daah hili lilinikumba na mimi na sio mtoto tu alikuwa amewahi kuoa halafu wakatalikiana na hakuniambia ,penzi likanoga wee nikapata mimba nakumbuka ilikuwa siku ya jumamosi niko kwakwe yeye yupo kazin kwenye kukagua kabatini nikakutana na albamu ya picha moyo ulishtuka na sikumwambia hadi...
wew Aisee ningemjibu nitakuua bure alale na msichana wa kazi labda mimi sio mmachame aisee hapa ulimvumilia kwa kweli adhabu yake ambayo ningempa angechanganyikiwa kwa kweli ....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.