Recent content by binti wa kikwere

  1. binti wa kikwere

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume HIV+

    kila la kheri
  2. binti wa kikwere

    JamiiForums Tanzania KHEEE

    Hili ndo jibu
  3. binti wa kikwere

    JamiiForums Tanzania Unataka nani wa JF mkutane hata njiani

    natamani kukutana na Mshana Jr kwani nitajifunza mengi kupitia kwake
  4. binti wa kikwere

    JamiiForums Tanzania Najihisi mjinga kukosa chuo

    asante ng'ombe wa maskini hazai miaka yote kazini sikupata ruhusa ya kusoma mwaka huu nimepata ndo hivyo kimefungiwa
  5. binti wa kikwere

    JamiiForums Tanzania Najihisi mjinga kukosa chuo

    Pole ila sio wewe peke yako ndugu mi mwenyewe nimekosa niliomba ST JOHN kwa tawi la Dsm (St Mark) TCU wamewafungia udahili hapa sijui hata la kufanya
  6. binti wa kikwere

    JamiiForums Tanzania DAQA YA KUPUNGUZA MATITI

    naomba mawasiliano ya simu nipate hiyo dawa nipunguze hili ziwa nyasa
  7. binti wa kikwere

    JamiiForums Tanzania Kuwa na mke anayetambua kuwa huna kazi na kuridhika na kidogo unacholeta nyumbani ni bahati ya kipekee

    wanaume hawatabiriki unaweza mvumilia kipindi hana kitu lakini siku akizipata anatafuta wa kutumia nae na hapo yule mvumilivu anakuwa hana thamani tena tumeshayashuhudia haya
  8. binti wa kikwere

    JamiiForums Tanzania Mahusiano yako ya muda mfupi zaidi yalidumu kwa muda gani? Ni nini kilisababisha muachane.

    niliwahi kudumu kwa mwezi mmoja na ndio ilikuwa siku ya kwanza kudinyana nae nilichokitarajia sio nilichokikuta sio kwa kibamia kile na sijui ni kwanini wanaume wengi watanashati huwa na vibamia
  9. binti wa kikwere

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wenye uzito wa kilo 90 kwenda juu tukutane hapa

    na mimi naomba mniunge hilo group
  10. binti wa kikwere

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wenye uzito wa kilo 90 kwenda juu tukutane hapa

    umeona eeeh full mnato
  11. binti wa kikwere

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni upi kuhusu tukio la Scorpion wa Buguruni?

    kuna kitu nyuma ya pazia ngoja sheria ifuate mkondo wake
  12. binti wa kikwere

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni upi kuhusu tukio la Scorpion wa Buguruni?

    kuna kitu nyuma ya pazia ngoja sheria ifuate mkondo wake
  13. binti wa kikwere

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki(mpenzi) wa kike Dar

    ngoja nijaribu bahati yangu
Back
Top Bottom