Recent content by Binti Kimanzi

  1. Binti Kimanzi

    Vurugu Zanzibar, makanisa yachomwa moto!

    Simple question: Muungano ulianzia kanisani?
  2. Binti Kimanzi

    UDSM yashuka kwenye list ya 'Top African universities'

    ww unalako jambo, acha generalization za ajabu ajabu hapa walimu wana ukimwi na wasichana ni makahaba ulikuwa nao kwny ukahaba? kama wazalendo tunatakiwa tutoe mawazo ya kusaidia sio kuwa na fikra za kupeleka watoto wetu nchi zingine, na hao wasiokuwa na uwezo wa kupeleka watoto wao nje...
  3. Binti Kimanzi

    Maandamano ya Kumsapoti JK Washington DC

    unasema wanasaliti utamaduni, mila na desturi za taifa? utamaduni upi wanaousaliti? utamaduni wa kukaa kimya na kuwaacha wachache waenjoy hii nchi wakati Watanzania wanaumia na maisha magumu?
  4. Binti Kimanzi

    Nyumbani Lounge kwa JayDee huduma kwa mteja hairidhishi

    that's unfair ulikuwepo wakati anazitoa? au ulimtoa ww? au ulimsindikiza kuzitoa mpaka ukajua idadi hiyo? thread inaongelea mambo mengine kabisa ya kumsaidia mwenzetu ww unakuja na issue cjui za wapi inahuuu?
  5. Binti Kimanzi

    count down

    Huku kwetu tumeshafanya mabadiliko hatudanganyiki jioneeni wenyewe ambavyo hatudanganyiki! wasiotaka mabadiliko dawa yao hii hapa!!!!!
  6. Binti Kimanzi

    Who is Benson Bana?

    mh, Bana anahitaji msaada wa haraka kwenye uhandishi wa CV........
  7. Binti Kimanzi

    hodi wanaJF

    thanx FL1
  8. Binti Kimanzi

    hodi wanaJF

    me ni jinsia ya "ke"
  9. Binti Kimanzi

    hodi wanaJF

    Habari zenu..... am a new member naombeni mnikaribishe ili nijisikie sijapotea kuchagua kuwa hapa home of the great thinkers.
Back
Top Bottom