Shoga yangu yamemkuta na ninawalaumu wafanyakazi wa Tigo kwani Wizi huu umetokea juzi tarehe 18/ February /2014
Nawatahadharisha na wengine msiiamini Tigo au hizi Money Pesa kwani imesababisha Msiba juu ya Msiba kwa jirani yetu hapa Tanga ambaye ni Mwl Horohor 0714-3535** kwao Ukerewe.
Wao...
Kw uongo sasa CHADEMA mmezidi Mkiti Yona kazungumza Live akbisa fungua link hiyo hapo chini
na ya Kova Thread yake im humuhumu https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/582402-kamanda-kova-mwanachadema-mmoja-alihusika-kumteka-bwana-yona.html
Unyama: Mwenyekiti wa CHADEMA Temeke ambaye chama...
matusi ya nini sasa mkiambiwa ni
watoto
wakabila
wadini
wabaguzi
Hamtaki sasa Zitto kashinda mtaula wa Chuya anzeni kujichumguza maana hapo hakuna list ya kuinngia Ikulu hata mmoja
Pole sana Nyerere, mm LEO NINA FURAHA MPAKA KUMTIMA
WEWE NIAMBIE NIKUSUBIRI WAPI???
HAKI SASA INATENDEKA
MARA NYINGI MSIJISAHAU MSUMENO HUKATA KOTEKOTE kwa Lema na Mnyika ilikuwa sawa lkn ZZK MMENYONGA MARA ZOTE mmnamnanga
poleni
Kama ni Zitto yeye atarukia tawi lingine mpaka mti wote ulale chini
La sivyo wampishe kileleni naye awe mwenyekiti na agombee Urais
Kwa nini Baraza la Wazee kipindi kile walimdanganya kwamba hajakua????
Du mbona na mm nitampa akitakacho Maana Waarabu mpaka Roho inasita,
najua ataniongeza tu ntakachomgea 35M nini Bwana na wala simtaji kumbe kakomba nyingi
Lazima tushtuane kwa nini tuibiane wakati Matangazo yapo kila mahali hata juu kabisa
Shosti naoana unazungumzia magari ya Be Forward k sikosei ndio ya Japanese Used Car
Msinishobokee na mm ila nachotaka kuwaeleza kuwa magari sasa yameshuka thamani.
Link zao hizi hapa...
Kwani kachukua shilingi ngapi?
Mimi nilikutana naye asubuhi hana kitu.
Poleni ntamtafuta tena maana Waarabu leoleo ataanza kunywa km ni 30m
Tehteh poleni ni Jokes tu
e sana Kaka Mentor kwa nini ulizamisha yote na kuiloweka? ndio madhara ya kilaji.
wenzako huwa tunataka ukamuaji wa Jogoo na kuku unakamuliwa juujuu hujatua
ukiona mwenzako anailoweka basi ni Gono na ombea angekuchubua usingekuwepo
Shukuru Mola na usirudie tena
Mtafute Diana km hajaolewa mrudiane
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.