Picha 15 za matukio ya kusisimua ya wanyama mwaka 2013

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,869
1,225
JAN022014
[h=3][/h]Mwaka 2013 si tu kuwa ulikuwa na matukio ya ajabu kwa binadamu lakini pia katika ulimwengu wa wanyama kulikuwa na vituko vya hapa na pale, nimekuandalia picha 15 zikionyesha matukio mbalimbali ya wanyama ndani ya mwaka 2013.
Tabianchi 2014
 

kadakokigondile

JF-Expert Member
May 17, 2013
1,714
1,195
Iweee kwa kweri umeniyacha hoyii na kare ka nyani kanacheza ndomboro juu ya garii pamoja na kare kanacheza sarakasii mhh Iwee wacha tuu
 

MAKANJAMNA

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
1,134
2,000
hao nguchiro wa3 hapo mbona siwaelewi?? huyo wa kati ni mwanaume au mwanamke??
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom