Pole sana, kunakitu kilikuumiza na bado unacho moyoni, achilia moyo na futa yale mabaya uliyotendewa kichwani mwako, muombe Mungu akuondoshee hiyo roho.
Mwanamke anayekupenda kweli hakuombi pesa hata ukimpa Kwa hiyari yako atakushauri mfanyie mambo ya maana, huyo hana hata chembe ya upendo kwako. Fanya maamuzi ya kiume.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.