Recent content by Bint mkwel

  1. Bint mkwel

    Kazi ya uhasibu

    habari waungwana naomba msaada kwa kwenye shirika au ofisi yoyote yenye uhitaji wa muhasibu anisaidie nipate kazi au nijitolee, Nimemaliza diploma ya uhasibu mwaka huu 2016 TIA dar . plz PM or email yangu mchapakazisana@gmail.com.
  2. Bint mkwel

    Natafuta kazi au tenda za graphic designing

    judgement bila manufaa si kitu km unahitaj mtu wa graphic kuwa silias
  3. Bint mkwel

    Natafuta kazi au tenda za graphic designing

    habar wadau natafuta kazi ya graphic design ninauzoefu wa mwaka mmoja pia nnazo sample za design mbalimbali nilizaofanya. tafadhal kwa yeyote mwenye kuitaji ama kampuni inayohitaji naomba tuwasiliane kupitia email hapo chini mchapakazisana@gmail.com
  4. Bint mkwel

    Bikra ajitokeze ndoa nyeupee!

    Mmh comment hatar ngoja tusubir kitakachojir
  5. Bint mkwel

    Bikra ajitokeze ndoa nyeupee!

    unahakika na unachokiongea ndugu au unaassume tu
  6. Bint mkwel

    Kaka kumuomba mdogo wake aliyeolewa aje amdekie, amfulie, imekaaje?

    Me naona hamna tatizo kumsaidia ndugu yako n ukiangalia malez waliyolelewa utakuta walikuwa wanapendana na kusaidiana toka utoton mwao so cshangaiiiiiii
  7. Bint mkwel

    Natafuta mchumba (male) muislam

    Jaman me ctanii wala ctak kuznguana nimesema ambaye yupo serous km haupo serous naomba upite mbali
  8. Bint mkwel

    Natafuta mchumba (male) muislam

    Majungu sio mazur jaman wale wote mnaosema natafuta kusomeshwa cjui kuchuna muwe mnawaza mara2 2 kabla ya kuropoka me cna njaa kama mnavyofkiria ndo maana nkasema mwanzo km huna nia pita mbaliii
  9. Bint mkwel

    Natafuta mchumba (male) muislam

    Ahsante
  10. Bint mkwel

    Mimba zisizotarajiwa au kutakiwa

    Na wale wa mtaani je mtawafikiriaje jaman maana wanateseka sana
  11. Bint mkwel

    Kura Zakutwa karibu na msituni kata ya Njoro wilayani Moshi

    Hzo tayar used sema wazoa taka ndo wamekosea kutupa apo
  12. Bint mkwel

    Natafuta mchumba (male) muislam

    Watu hawako serous so Imetosha. Thanx
Back
Top Bottom