Natafuta kazi au tenda za graphic designing

Bint mkwel

Member
Oct 27, 2015
12
2
habar wadau
natafuta kazi ya graphic design ninauzoefu wa mwaka mmoja pia nnazo sample za design mbalimbali nilizaofanya. tafadhal kwa yeyote mwenye kuitaji ama kampuni inayohitaji naomba tuwasiliane kupitia email hapo chini
mchapakazisana@gmail.com
 
Ukizipata nyingi niambie nikusaidie, tugawane umaskini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom