Recent content by BINOTO

  1. B

    JamiiForums Tanzania Cyprian Musiba mtuhumiwa namba moja

    Bongo Bwana! Kuongea mitandaoni tunaweza. Kama ushahidi upo si ukamfungulie kesi kwa anachokitenda!
  2. B

    JamiiForums Tanzania Wito bila tume huru ya uchaguzi 2020 wananchi wasijiandikishe kupiga kura

    Kuna Tume huru Duniani? Mtaisubiri sana. Hiyo ipo mbinguni tu.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi Upinzani Wakati CCM Wameduwaa Sasa Ndio Wakati wa Kuunga Nguvu

    Hizo ni ndoto na mawazo yako tu. Wewe unawaza kuitoa CCM wakati upinzani unawaza jinsi gani ya kupata pesa kupitia wabunge wengi. Mambo ya kuitegemea Dunia kuamua sahau hiyo kitu. Hii ni nchi huru na ina taratibu zake za nani na kwa nn atawale sio vile unavyofikiri. Kama ni issue ya Dunia kujua...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa vyombo vya dola, ACT - Wazalendo hii siyo sawa na CHADEMA

    Iwe ni Kudhulumiwa, au kushindwa kwa haki lakini kamwe hataweza pewa kuwa rais wa Zenji. Asahau hiyo kitu na hilo analijua fika. Wote wanasukuma maisha tu.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe, CHADEMA waliokubeza sasa watakukimbilia - wakati husema kweli

    Weka fikra mbali uone kama atapewa zenji. Ameikosa tangu 95 hawezi pewa 20,s
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa Wanaume: Hakuna Mwanamke mwenye Bwawa, ni wewe umemharibu!

    Napita tu
  7. B

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Ndani ya gereza la Segerea kuna ukiukwaji wa haki za binadamu ikiwa ni pamoja, kukosekana kwa mahitaji muhimu na msongamano wa watu

    Hama tu hata sasa. Cos kuitoa ccm sio leo na hilo wanalijua
  8. B

    JamiiForums Tanzania Daladala kuongezwa katika usafiri wa Mwendokasi ili kupunguza adha ya usafiri huo

    Sio daladala ni mabasi hayo hayo yanahamishwa toka rout ya Mbezi kimara to kimara gerezani/ Kivukoni
  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uwanja mpya Dodoma kukamilika 2021

    Huyo ni Mtanzania na asili ya kukosoa kila kitu. Zilijengwa barabara za line mbili, leo unaambiwa hazee hawakuona mbali ona leo wanabomoa. Hospital, mashule, system za maji, magorofa mafupi nk yote hayo kizazi hiki kinayaponda. Kikitengenezwa kikubwa nacho kinapondwa. Sijui Mtz anataka nn zaidi...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Professa Lipumba achaguliwa kugombea Uenyekiti ndani ya Chama Cha Wananchi(CUF)

    Ndugu hujaandika kama mwandishi mleta habari. Umeandika kwa kujiuliza maswali na kujibu mwenyewe. Umeandika ki ushabiki zaidi tena ki malalamiko. Badilika basi unapotela uzi, tupe nasi fursa ya kuchangia. Mtoa habari wewe, muuliza maswali ww, anejibu wewe, mtoa lawama wewe, unaijibia serikali...
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiambiwa, baby tuzime taa, jiulize Mara mbili.

    Du vi vichungi vya sigara nn
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mzee Sumaye azidi kuteseka. Je, atarudi CCM?

    Waache watesane. Kipindi Sumaye alipokuwa kiongozi kuna watu walipata tabu sana. Hata kuwapora hayo mashamba. Mwache nae akinywee maana nae aliwatesa sana wananchi.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Augustino Nestory Sassi: Niwaambie nini kuhusu Tundu Lissu? Nilifungwa jela miaka 30 na viboko 12 nikiwa kada wa CCM, akanisaidia

    Sahau hiyo kitu. Ni mawazo yako na mahaba yako kwake. Hajatumwa mtu kumkomboa Mtz. Mtz atajikomboa mwenyewe. Hata kwa Mamvi mlisema ni mpango wa Mungu leo yuko wapi? Msilitumie jina la Mungu kwa fikra na mahaba yetu kwa watu.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

    Misiba ya sasa hivi sio kama ya zaman ambapo watu walikuwa na huzuni na ukimya ukiyawala sana. Kwa sasa misiba inakuwa ndio Sehemu ya watu kukutana maana hawajaonana mudamrefu, ndio story za siasa na mpira kwa sana tu. Na hata kesho huko kwa msiba story kubwa itakuwa ni Simba simba, nazaidi ya...
  15. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vyakula au miiti gani inaongeza sperms kwa haraka kwa wingi?

    Jamaa ktk ujana wake kabutuuua watoto wa watu mpaka sperm zimekwisha. Fainali sasa, mkeo ndo anazitaka. Haya kazana zije kama utaweza. Mpunguze kuzimwaga mwaga hovyo hovyo.
Back
Top Bottom