Viongozi Upinzani Wakati CCM Wameduwaa Sasa Ndio Wakati wa Kuunga Nguvu

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,921
71,501
Tumeona CCM wametahayari na Matukio ya CUF vs ACT Wazalendo na jinsi CUF aka CCM B jinsi ilivyo fungwa goli la kisigino, basi ni vema mchuzi huu wa moto usiachwe upoe hata kidogo.
Viongozi wakutane wa vyama vyote hasa vile vilivyokutana Zanzibar wakati ule na kutoa azimio na kutafuta kujenga umoja wao ili wapige huku na huku.
Hiyo mikakati ya kutaka kuwa chama kikuu cha upinzani bila kuiondoa CCM madarakni sasa iwe mwiko. CCM out ndio iwe kauli mbiu.
Kwanza Uwezekano wa Zanzibar kutokuibiwa kura tena kama 2015 ni mkubwa hivyo 2020 Zanzibar kutakuwa na serikali ya ACT. Jee ilikuwa na serikali ya Muungano ACT itakubali tabia ya kuminya demokrasia Bara? haiwezekani na hapo ndio CCM watakapo vunja muungano wenyewe kwa mikono yao.
Hizi hesabu ni kali sana, na Seif kasha wekeza dunia nzima kuwa 2015 aliibiwa ushindi jee wanyamaze wasimsaidie 2020 manyang'au kumpora tena? Sasa viongozi kutaneni haraka hata kama inashindikana kukutania Dar au Zanzibar nendeni mkakae hata Kenya au Dubai na Ulimwengu ujue kuwa huku mkikaa pamoja Polisi na jela vyaweza kuwa vyenu kama wakati wa Ukaburu South Africa
 
Sijaelewa mkuu, una maanisha CHADEMA wanatamani kuungana na ACT?
 
Dah,,umeshtukia,,
Manake upepo unaweza kubadilika muda wowote,,
Tumeona CCM wametahayari na Matukio ya CUF vs ACT Wazalendo na jinsi CUF aka CCM B jinsi ilivyo fungwa goli la kisigino, basi ni vema mchuzi huu wa moto usiachwe upoe hata kidogo.
Viongozi wakutane wa vyama vyote hasa vile vilivyokutana Zanzibar wakati ule na kutoa azimio na kutafuta kujenga umoja wao ili wapige huku na huku.
Hiyo mikakati ya kutaka kuwa chama kikuu cha upinzani bila kuiondoa CCM madarakni sasa iwe mwiko. CCM out ndio iwe kauli mbiu.
Kwanza Uwezekano wa Zanzibar kutokuibiwa kura tena kama 2015 ni mkubwa hivyo 2020 Zanzibar kutakuwa na serikali ya ACT. Jee ilikuwa na serikali ya Muungano ACT itakubali tabia ya kuminya demokrasia Bara? haiwezekani na hapo ndio CCM watakapo vunja muungano wenyewe kwa mikono yao.
Hizi hesabu ni kali sana, na Seif kasha wekeza dunia nzima kuwa 2015 aliibiwa ushindi jee wanyamaze wasimsaidie 2020 manyang'au kumpora tena? Sasa viongozi kutaneni haraka hata kama inashindikana kukutania Dar au Zanzibar nendeni mkakae hata Kenya au Dubai na Ulimwengu ujue kuwa huku mkikaa pamoja Polisi na jela vyaweza kuwa vyenu kama wakati wa Ukaburu South Africa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila Katiba na Tume huru ya uchaguzi na hata mikutano ingeruhusiwa daily kufanyika..

na hata Jiwe angehamia na huko ACT...bado upinzani utapata taabu sana sana
 
Kupata taabu sio jambo la ajabu kwa watu ambao kuwekwa mahabusu na jela kwao kimekuwa kitu cha kawaida
 
Tumeona CCM wametahayari na Matukio ya CUF vs ACT Wazalendo na jinsi CUF aka CCM B jinsi ilivyo fungwa goli la kisigino, basi ni vema mchuzi huu wa moto usiachwe upoe hata kidogo.
Viongozi wakutane wa vyama vyote hasa vile vilivyokutana Zanzibar wakati ule na kutoa azimio na kutafuta kujenga umoja wao ili wapige huku na huku.
Hiyo mikakati ya kutaka kuwa chama kikuu cha upinzani bila kuiondoa CCM madarakni sasa iwe mwiko. CCM out ndio iwe kauli mbiu.
Kwanza Uwezekano wa Zanzibar kutokuibiwa kura tena kama 2015 ni mkubwa hivyo 2020 Zanzibar kutakuwa na serikali ya ACT. Jee ilikuwa na serikali ya Muungano ACT itakubali tabia ya kuminya demokrasia Bara? haiwezekani na hapo ndio CCM watakapo vunja muungano wenyewe kwa mikono yao.
Hizi hesabu ni kali sana, na Seif kasha wekeza dunia nzima kuwa 2015 aliibiwa ushindi jee wanyamaze wasimsaidie 2020 manyang'au kumpora tena? Sasa viongozi kutaneni haraka hata kama inashindikana kukutania Dar au Zanzibar nendeni mkakae hata Kenya au Dubai na Ulimwengu ujue kuwa huku mkikaa pamoja Polisi na jela vyaweza kuwa vyenu kama wakati wa Ukaburu South Africa

Hizo ni ndoto na mawazo yako tu. Wewe unawaza kuitoa CCM wakati upinzani unawaza jinsi gani ya kupata pesa kupitia wabunge wengi. Mambo ya kuitegemea Dunia kuamua sahau hiyo kitu. Hii ni nchi huru na ina taratibu zake za nani na kwa nn atawale sio vile unavyofikiri. Kama ni issue ya Dunia kujua jiukize hiyo Dunia imeisaidia nn Congo baada ya kabila kucheza rafu?
Tunza huu uzi halafu mwakani unicheki wakati CCM ikiongoza bara na visiwani.
 
Umemaliza mkuu waache wajiliwaze
 
Back
Top Bottom