Naziona dalili za ngangari na ngunguri kurudi upya, 'combination' ya Zitto na Maalimu Seif siyo ya kupuuzwa, wako tofauti kabisa na safu ya Chadema ya kina Mbowe na Mashinji ambao wako too diplomatic, ukiwapiga kofi la kushoto wanakugeuzia na la kulia wanasema Mungu atalipa. Sioni hilo likitokea kwa Zitto na Maalimu.
Hii 'combination' ingawa ni hatari lkn ndiyo sahihi kwa awamu hii, itafit vizuri kwa style ya siasa za mabavu, siasa za kutishana, siasa za fitina,[Zitto Kabwe: Wameanza chokochoko watakachokipata hawatajua kimetokea wapi.], binafsi naona kama huu muungano umechelewa sana kuja.
Hulka ya Zitto (Ha) ni ya kutokubali kushindwa, ubishi, vile vile hulka ya Maalimu Seif (Pemba) ni ya kujiamini ni watu wenye msimamo, hawayumbishwi, hawa watu wakiwa pamoja ni hatari zaidi, wakiona wanaelekea kushindwa hasa kwa kuonewa wanaweza kutumia njia 'zozote' nzuri au mbaya, ndani au nje ya Tanzania almradi wapate wanachokitaka.
Sioni tena Zitto na Maalimu Seif wakiporwa ushindi watakaoupata 2020 Zanzibar, watautafuta 'by hooks and crooks', na huenda Tanzania ikazalisha tena wakimbizi kama ilivyokuwa 2001. Kwa umri wake Maalimu Seif has nothing to lose ukizingatia huenda ukawa ndio uchaguzi wake wa mwisho kama mgombea, na Zitto naye atakuwa anataka kujenga jina.
Tusiombe kufika huko, ndiyo maana nimetahadharisha mapema vyombo vya dola polisi, mahakama, NEC na viongozi kutumia busara, kuhakikisha haki inatendeka na usawa kwa vyama vyote bila upendeleo. Pasipo vyombo vya dola kutenda haki naiona Tanzania ikiingia kwenye rekodi za dunia.
Haya ni maono yangu.
Mchambuzi wa siasa za Tanzania, Quinine.