Recent content by BinMgen

  1. BinMgen

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Kwani zinauzwa bei gani?
  2. BinMgen

    JamiiForums Tanzania Zanzibar yafuta usajili wa Meli ya EAGLE baada ya kukamatwa El Salvador kwa tuhuma za Dawa za Kulevya

    Unamaanisha Tanganyika ama? Maana Tanzania ni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
  3. BinMgen

    JamiiForums Tanzania Makubaliano yamefanywa Muungano umevunjwa rasmi bila maandishi wala tangazo na Zanzibar inaruhusiwa kujifanyia kila kitu isipokuwa kuwa na jeshi

    Kama mmeitelekeza Tanganyika yenu na kujiits Tanzania ili muimeze Zanzibar Nyerere amewaingiza chakike, Wazanzibari wapo smart sana ndiomaana toka mwanzo wametegua mbinu zote za kuipoteza na muimeza Zanzibar au kuifanya mkoa. Nyerere hakua smart kuipoteza Tanganyika kwa kujiita Tanzania kwa...
  4. BinMgen

    JamiiForums Tanzania Roman Catholic inajitahidi kwenye nidhamu ya fedha na usimamizi wa miradi. Kwingine kuanzia BAKWATA, Wasabato, KKKT, walokole, n.k. kunanuka ufisadi

    Bakwata usiwalinganishe na madhebu ya Kikristo, madhebu ya Kikristo waumin ndio wanaochanga pesa kuendesha taasisi zao, Bakwata wanajua wenyewe wanakotoa pesa, hakuna Muislamu anaechangishwa kwa ajili ya Bakwata.
  5. BinMgen

    JamiiForums Tanzania Tunakoelekea ni kubaya, vikundi vya uasi vinakiri kuhusika na mauaji ya mwenyekiti wa CCM na polisi, hii sio tamaduni yetu watanzania, this must stop

    Mo29 imebaki history tu, yameshapita hayo wacha maisha yaendelee. don't dwell on the past lets focus on our future.
  6. BinMgen

    JamiiForums Tanzania Zanzibar wanatoa wapi pesa za kujenga viwanja vya michezo bila kukopa?

    Kazi ngumu mpe myamwezi, wewe endelea kula chakula cha ng'ombe.
  7. BinMgen

    JamiiForums Tanzania Hakuna nchi yoyote ile duniani, iliyojengwa kwa sala na maombi. If prayers really work, Africa would be the richest continent in the world

    Wewe unamaswali ya kitoto ambayo hayastahiki kijibiwa, unakuja na story za vijiwe vya kahawa. Hauna unachokijuwa.
  8. BinMgen

    JamiiForums Tanzania DP World imemfukuza kazi Sultan Ahmed bin Sulayem kutokana na madai ya mfanyabiashara huyo kuwa na uhusiano na Epstein

    Kama vile wewe ulivyo na stress na Waislamu na Waarabu.
  9. BinMgen

    JamiiForums Tanzania SGR pamejaa dini pendwa?

    Usituletee udini wako hapa, hao wote ni watanzania, dini haina uhusiano wowote na shughuli zetu.
  10. BinMgen

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inasemekana Mkuu wa Jeshi la IDF Harzi Halevi auwawa kwenye Shambulizi la Drone lilifanywa na Hezbollah hii Leo

    We subiri Mungu wako Israel aripoti ndio uamini
  11. BinMgen

    JamiiForums Tanzania Wajua msikiti wa Al aqsa Jerusalem ulijengwa likiwa ni kanisa la Byzantine (Byzantine church)?

    We mwenyewe umedanganywa umekuja kudangaya watu hapa🤣🤣🤣
Back
Top Bottom