Recent content by Bin yahya

  1. B

    JamiiForums Tanzania Tathmini ya uchaguzi hadi Oktoba 1, 2015: Majimbo ya uhakika yanayoenda UKAWA

    bado siku ishirini (20) utabiri utaisha itakuwa kwel tupu
  2. B

    JamiiForums Tanzania Lowassa ni zaidi ya Rais, Vivuko vyote kutoa huduma bure

    safi sana ila unajisahau ukimkataa lowasa na ukawa utamkubali makufuli na cmm na cjui kwamiaka miongo yote wamefanya nn?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mh. Shein: Kima cha chini cha mshahara kitakuwa Sh.300,000

    shen jiran yangu ni baba yangu ila kwa hapo umechemka kipindi chako cha miaka mitano hamna zaidi ya mnara wa kisonge. ulituahidi uvuvi wa kisasa na viwanda vya kusindikia samaki boti za kisasa ila cha kushangaza hadi unamaliza miaka yako mitano hata moja hujafanya sasa unatuzidishia mzigo...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mh. Shein: Kima cha chini cha mshahara kitakuwa Sh.300,000

    stroke upo sahihi kimawazo ila kiutendaji ni kwel kabsa sheni anaongopa mchana kweupe maana hadi sasa sheni niraisi wa zanzibar ingelikuwa kwel anajali maslah ya wafanyakazi na wazanzibar kwa ujumla angefanya hayo kisha wazanzibar watayaona na kukugundua umuhimu wake kwao ni hayo tu nionavyo.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Siri ya Lowassa yavuja

    msukuma mbona ckuelewi wakati unampigia debe awe rais kupitia ccm alikuwa mzur ila baada ya kuwa chadema ndo muovu tufumbuen macho viongoz wetu mbona mnatuzonga
  6. B

    JamiiForums Tanzania NCCR na CUF bye bye kwenye siasa za Tanzania Bara baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2015

    mhhh inawezekana ila ww unawawazia wachatusubir tuone chama kufa na kufuka nijambo la ajabu lakin kwa tz cajabu. imekufa TANGANYIKA na hakuna anaehoji. napindi akijitokeza mtu kushtuka kama ww utapotea katka ullimwengu huu au kisiasa. asubuh njema.
  7. B

    JamiiForums Tanzania UKAWA waanza kuchangisha fedha baada ya ukata Mkali

    nazidi kuogopa daaa
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mgawanyo wa Majimbo: CUF ni bora kujiondoa UKAWA kuliko kuhujumiwa CHADEMA

    imeanza sasa ctofahamu hii ndo ciasa ya tz nikama tumerogwa.
  9. B

    JamiiForums Tanzania UKAWA tuache Kuzomea Wavaa Nguo za CCM

    daaaa ccm imefikia hapa kwel hapo zaman kule kwetu zanzibar ulikuwa ukivaa sara ya cuf mbona tabu ila upepo umegeuka.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

    mhhh cfikirii kama nikwel maana afya unayoizungumzia hyo. ikiwa hospital kuu uhaba wavifaa unasumbua madakar na wagonjwa je huko kijijini. elimu nikwel tumejitahid sana kujenga majengo ila mitaala mibovu. kuhusu ajira hilo ndo utata mtu mm mtoto wa mkulima ntawezaje kufikiria kuajiri watu 10000...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Vipaumbele vya Lowassa vyampendeza JK

    kiukwel kila kitu kipangwe upya sera ya afya majanga sera ya elimu mashaka ajira ndo ucseme njaa imekisiri. rais ajae afikirie haya.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Katibu wa uchumi na mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kilimanjaro wajiuzulu

    tuwe makini maana hawanao walikuwemo katika jahaz wakila vyetu. icje wamehic jahaz lao limeisha ndo wanaingia huku kwa ajili ya kuendeleza kula vinono
  13. B

    JamiiForums Tanzania Magufuli na mradi wa laptop kwa kila mwalimu,hivi tatizo ni ukosefu wa laptops?

    kama profesa j vle na ndio mzee
  14. B

    JamiiForums Tanzania Jaji Ramadhani: Nitatema nyongo baada ya Uchaguzi

    mwaka huu yangu macho na ckio
  15. B

    JamiiForums Tanzania Lowassa mbona mimi Xperience natishwa na wanawake

    mbona waanza woga muheshimiwa
Back
Top Bottom