Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 13,583
- 21,137
Mgombea urais wa Zanzibar kupitia CCM ameanza kutoa rushwa! Anawaahidi wafanyakazi wa serikali Zanzibar kuwa endapo watamchagua atawaongezea mshahara katika kipindi cha mwezi mmoja na kwamba kima cha chini kitakuwa Shs.300,000/=!
Cha kushangaza hapa ni kuwa ameshindwaje hivi sasa kwa sababu bado ni Rais wa Zanzibar! Baraza la wawakilishi lililomaliza muda wake tayari lilipitisha bajeti ya 2015/16, sasa fedha za nyongeza za mishahara Shein atazipata wapi?!
Huu ni utapeli na unatakiwa kukemewa kwa nguvu zote!! Wazanzibari msidanganyike wakati wa mabadiliko ni sasa!! Shein na CCM yake wapumzishwe ili wajifunze utawala bora!!