Habar qanaforum mimi apa nawazo la kuanzisha ofisi ya kupokea na kaagiza mizigo kutoka dar kwenda mikoni au kutoka mikoani kwenda sehem ingine kwa kutumia usafir wa mabasi lakin sijui vipi nitawafikia wamiliki wa mabasi ili nikubaliane nao. Hii nataka ni tengeneze uaminifu na urahisi kati ya...
Naom,ba kuuliza ni jinsi gani watu wanaandika mawazo yao na kufanikiwa kupata udhamini kutoka selikalini au makampuni binafsi na kufadhiliwa ili kuendeleza au kufanya yale m,awazo alioyawakilisha kwa mfano mimi naitaji kutafuta udhamini wa kutengeneza application au system ambayo inaweza kua...
mimi nimesoma bacherol ya Biotechnology and laboratory sciences na miejaribu kuapply kazi kama vile laboratory scientist katika biochemostry au microbilogy na unakuta wanaweka pale kozi wanaotakiwa kuapply kama vile Bsc in moleculae biology, microbiology, biotechnology and molecula biology, au...
Mimi ni graduate wa Biotechnology and Laboratory Science Nimejaribu kujaza katika system ya Taesa nimeweka vyeti na kila kitu ila bado wana onesha academic qualification not filled kwanini?
kwa wanaoitaji dipstick za urine nipigie kwa namba 0778422150 nipo zanzibar kijichi bei ni sh.16000 pia machine ya FBP three parts kwa Milion 6 ipo kwa anaeitaji
Naombeni msaada hivi ukiagiza bidhaa online mfano pieces 50,000 za urine container kutoka Alibaba zenye thamani mfano sh. 2500000 ushuru wake hapa bongo unaweza fika shilingi ngapi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.