Academic Qualification unajaza vipi Taesa kwa waliosoma Biotechnology

billy1999

Member
Oct 2, 2023
15
8
Mimi ni graduate wa Biotechnology and Laboratory Science Nimejaribu kujaza katika system ya Taesa nimeweka vyeti na kila kitu ila bado wana onesha academic qualification not filled kwanini?
 
Umeambatanisha vyeti?
 
Back
Top Bottom