Chanzo cha vita hii ilikua ni ugomvi wa binafsi wa walinzi wa mpaka wa pande zote mbili, aliyesababisha ni Mwanamke malaya. Chanzo cha kutupiana risasi ni hicho. Kama kungekua na diplomasia nzuri tusingefika huko vitani. Pamoja na kuwepo na ugomvi wa siku nyingi kati ya nchi hizi mbili wote...
This madness! Sisi kama taifa hatuna sifa yeyote ya mafanikio katika gunduzi zilizofanikisha maendeleo duniani katika kumpunguzia ahueni wanadamu.
Kiswahili bado kipo nyuma kwenye akademia sababu bado tunategemea wanazuoni wa nchi bazo hazizungumzi kiswahili watutafunie sisi tunameza elimu...
During the tunure you worked with that lady do you think they view you as an obstacle on bending something?
You know you need to be firm on this or otherwise we will treat the matter as handbag war ( inside there are lipsticks,keys powder razor ) always fighting.
Search Makonda on instagram -...
I thought that Mohamed Saleh acted under Company umbrella. I also believe the core of the matter originated from your work related misunderstanding rather than personal issues.
My advice as a neutral observer I will challenge you to report something to RC that will make him very very angry...
Before we considering you for our help, will you emphasize what was your role on robbing Tanzanian before envetually GSM robbed you?
Can you please prove and give us facts why you think company did unethically approach towards staffs in this case you?
Can you wistle blow something that you...
People are sick - mental problems issues ni nyingi sana TZ mpaka basaline ya kujitambua na kuheshimiana imetoweka.
Wajihi wa sura na maumbile sio factor ya output yako kaxini
Hii post ibakie hapa. Watanzania tuna mambo mengi sana ya kujadili likiwemo la ndege mpya ambazo Raisi kanunua bila kujua source of finance imetoka wapi, alikuwa anauwezo wakuzila na tusijue!
Magu asante sana! Shukran Habibi, wabeja, wakora, ndagha- urakoze - daaaa watanzania amkeni - tokeni...
Mtume Paulo alihaama na kusafiri kila mahali ili kulijenga Kanisa.
Sasa huyu Mangi mkuu kwanini asipeleke kipaji chake Machame, Meru, Kishumundu?
True colour- Dhambi ya pipo pawa itatupeleka pabaya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.