Recent content by billionarejerry

  1. billionarejerry

    Rais Trump asitisha ufadhili wa Marekani kwa Shirika la Afya Duniani (WHO)

    unawe mikono, usije ukaambukizwa corona kutoka jamii forum Sent using Jamii Forums mobile app
  2. billionarejerry

    Tunaotorokaga kazini bila ruhusa ya Boss tukutane hapa kushare visanga vilivotukuta

    hizi habari za kutoroka kazin haya siongei sana, but kuna siku utatoroka alafu ile unafika tuu nyumbani unakuta Boss kalala na mkeo nyumbani alafu unanyata taratibu unarudi kazini ili Boss asijue kama ulitororoka. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. billionarejerry

    Mapenzi kipindi cha Karantini 😂😂😂

    Mimi kuna staili yangu nafunga miguu na mikono na kamba kila kiungo upande wake sasa sikilizia kinachoenda kutokea hapo, ni mwendo wa kulia paka polisi waje kuamua. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. billionarejerry

    Naomba ushauri wenu juu ya mambo haya, maana mwenyewe imefika mahali nimeanza kukata tamaa

    Mr ntafute kwa billionarerry@gmail.com tunaeza kufanya kitu kikubwa kwenye bussiness, I'm professional trader naskitika umedeposit 500$ alaf unapigwa, ukipenda unaweza kunitext Sent using Jamii Forums mobile app
  5. billionarejerry

    Picha ya Konde Boy inakosolewa sana na wadau mpaka naona kama hana shabiki baada ya kutoka Wasafi

    hivi vitu ni va kina hamorapa jamani ye ataviwezea wapi Sent using Jamii Forums mobile app
  6. billionarejerry

    Italia wanaonesha hali ya kukataa tamaa, inatia huruma

    kama vipi wakabidhi nchi wapone! Sent using Jamii Forums mobile app
  7. billionarejerry

    Msaada: Huyu ni tapeli au sio wakuu?

    Huu mchezo alinifanyia mdada mmoja ansema yupo london, alinipiga biti nikaiva kweli kweli na nnavojiaminigi kuwa siezi kutapeliwa, basi ningejikuta nauza nyumba kwa millioni 100, kilichonsaidia niliomba watu ushauri basi nd akili ikashtuka hapo ila nlikuwa bata bamdani Sent using Jamii Forums...
  8. billionarejerry

    Msaada: Huyu ni tapeli au sio wakuu?

    Hapo utasign mkataba usioujua mzee kuwa care Sent using Jamii Forums mobile app
  9. billionarejerry

    Ukiwa na account ya Paypal huwezi kuunganisha na bank zetu hapa Tanzania?

    sawa nimekupata mkubwa sema paypal hawawezi kukaa na pesa ya mtu hadi waunganishwe na fund source
  10. billionarejerry

    Ukiwa na account ya Paypal huwezi kuunganisha na bank zetu hapa Tanzania?

    sasa hapa inategemeana na watoaji pesa wamebez wapi kama hawa jamaa wanatumia paypal kama umeyumba sana unaenda bitcoin
  11. billionarejerry

    Ukiwa na account ya Paypal huwezi kuunganisha na bank zetu hapa Tanzania?

    asee kuhusu kuwezeshwa bado mkuu leo nd wamenielewesha vzr kwaiyo wako kwenye mchakato huo sasa
  12. billionarejerry

    Ukiwa na account ya Paypal huwezi kuunganisha na bank zetu hapa Tanzania?

    mkuu naomba unicheck tafadhali kwa nickpauljerome@gmail.com
Back
Top Bottom