Ukiwa na account ya Paypal huwezi kuunganisha na bank zetu hapa Tanzania?

Jan 12, 2020
21
45
Unaweza kuunga ila kama haijawezeshwa hiyo account kufanya online banking basi hutaweza kufanya miamala. Kama account yako inagoma fanya kufika tawi la bank yako watakusaidia.
ni kweli ila hii card sina mda mrefu tangu imekuwa active nd nilikuwa nikiunga hapa ila bado inagoma na isitoshe equity bank hawakuwa na haja ya kuwezesha bank card manna imeunganishwa automatic
 
My Sons Legacy

JF-Expert Member
Feb 4, 2019
2,761
2,000
Sio lazima PayPal Mkuu
Kuna Skrill, SendWave, Nk

PayPal haifanyi kaz Bongo hapa
Kama ikishindikana itumwe kenya if you have somebody there. Then itumwe manually kwa Mpesa Au Airtel money kwako
 
Fursakibao

JF-Expert Member
Dec 12, 2017
3,149
2,000
ni kweli ila hii card sina mda mrefu tangu imekuwa active nd nilikuwa nikiunga hapa ila bado inagoma na isitoshe equity bank hawakuwa na haja ya kuwezesha bank card manna imeunganishwa automatic
Kama ni equit sahau. Nenda Backlays Bank

God save us
 
cmoney

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
3,313
2,000
Kama ni equit sahau. Nenda Backlays Bank

God save us
Ah ah we jamaa bana mfanyakazi wa markwting nn hapo...hivi niache account ambayo haina makato niende kimbizana na makato million...baclays mtapata tabu sana kipindi hiki
 
Fursakibao

JF-Expert Member
Dec 12, 2017
3,149
2,000
Ah ah we jamaa bana mfanyakazi wa markwting nn hapo...hivi niache account ambayo haina makato niende kimbizana na makato million...baclays mtapata tabu sana kipindi hiki
Ninazo zote isipokuwa Equity inegoma kuunganishwa na PayPal . nilikwenda mpaka bank wakaniambia kuwa haiwezekani

God save us
 
Jan 12, 2020
21
45
Sio lazima PayPal Mkuu
Kuna Skrill, SendWave, Nk

PayPal haifanyi kaz Bongo hapa
Kama ikishindikana itumwe kenya if you have somebody there. Then itumwe manually kwa Mpesa Au Airtel money kwako
sasa hapa inategemeana na watoaji pesa wamebez wapi kama hawa jamaa wanatumia paypal kama umeyumba sana unaenda bitcoin
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom