Naomba ushauri wenu juu ya mambo haya, maana mwenyewe imefika mahali nimeanza kukata tamaa

usimdanganye mwenzako ana degree ya Finance bado unamshauri akacheze upatu
probability ina asilimia ngapi ya kupata na ngapi ya kukosa?
hiyo michezo ni ya maskini na hakuna tajiri aliyetoka kwenye Kamari
km wapo mtuyajie hasa waliopitia FOREX
Mkuu Forex ni Hustle za watoto wakimaskini usitegemee mtoto wa Bakhresa akafanya FX yanini aumize kichwa na Mtaji upo.

Mo angezaliwa ambapo hazipo angafanya FX ila Mtaji kwao ulikuwepo yanini kujiumiza hakuna njia rahisi ya mtoto wa kimaskini kupanda juu either uchague kupanda kwa njia ngumu au ukae na umasikini.
 
Hapa nchini kwenyewe tunao.. anyway.. it's 2020...kila kitu kiko online huko
nitajie mmoja wapo aliyepitia huko.
mbona matajiri kibao ni yupi aacheza? Bakhresa, MO, Mengi, Magu Gwajima au hata Makonda
michezo hiyo nimecheza jamani tukawa wabishi lazima upigwe
 
Mkuu Forex ni Hustle za watoto wakimaskini usitegemee mtoto wa Bakhresa akafanya FX yanini aumize kichwa na Mtaji upo.
Mo angezaliwa ambapo hazipo angafanya FX ala Mtaji kwao ulikuwepo hakuna njia rahisi ya mtoto wa kimaskini kupanda juu either uchague kupanda kwa njia ngumu au ukae na umasikini.
ukiniambia Mtaji hapo nakubali
lkn hiyo michezo watoto wa matajiri wenye uwezo wa smartphone, Laptop na uvivu ndio wanacheza
lkn milioni moja ya Laptop akipewa na mama ataiingiza FOREX au FOREVER ili naye awe na Altezza
 
Hakuna mtoto wa tajiri anacheza Forex, FX sio ishu yakitoto inaumiza akiri na kuitesa naona umeandika uvivu mtu aliyefanikiwa kwenye Forex ni mtu alikita akiri kisawasawa kichwa kilichoelewa FX sikichwa cha kawaida cha kivivu ndio maana nikakwambia usitegemee kumuona mtoto wa MO anakaza medulla yake kuisoma FX yanini nawakati Mtaji tiari anao.

Elewa hiki Forex ni Hustle ya kuRise Fund sasa mtoto wa tajiri tiali iyo Funding power teyari ipo anachohitaji yeye ni ku-start Business tu ila wewe mtoto wa Mzee Dulla lazima uminye mishipa kuRise Fund.
 
Hakuna mtoto wa tajiri anacheza Forex,
Elewa hiki Forex ni Hustle ya kuRise Fund sasa mtoto wa tajiri tiali iyo Funding power teyari ipo anachohitaji yeye ni ku-start Business tu ila wewe mtoto wa Mzee Dulla lazima uminye mishipa kuRise Fund.
nimekuelewa
sasa tumshauri mleta Mada yeye anataka achote nyingine tena baada ya 5M kuliwa
ukihesabu zote alizokusanya na kucheza huu mchezo kaliwa na ana akili ya kupata nyingine lkn hajui kutunza anazirudisha zote huko, mrija ukikata ndio atajua pombe sio chai
hiyo michezo nimecheza sana na sikupata mwisho mzuri, kina Ontario, kina D9, kina DLND, Forever na sipendi wenzangu waingie kwani mumu humu walitukanya tukawatukana, sasa Donaldo alipoondoka Kampala kurudi Uganda viongozi wetu tayari walikuwa na ma-Harrier, BMW 3. kwa hiiyo Apex au scum walio juu ndio wanatajirika na huwezi washtaki lkn wataishi km kuku watatapanya na hatafaidi pesa za wanyonge wa chini
 
Kweli unaposema wewe una shida / matatizo na bahati mbaya, Kuna wenzako wana shida na bahati mbaya hata mara tatu zaidi yako. Pole sana mkuu
Sitasahau Mwaka 2017- 2018 ulikuwa Mwaka mchungu sana kwenye maisha yangu Baada ya kukutana na hii fursa ya forex. Nilipoteza pesa nyingi sana na muda. Nilitumia akiba ikaisha, nikauza gari labda nitarejesha hasara zangu, unapata leo profit ya $ 500 unafurahi kesho napoteza $ 2000, Mwisho gari ikaondoka, nikakopa benki dhamana nyumba, nilikopa Milion 10 pesa ikaondoka yote, Kuna shamba nilinunua huko Bagamoyo kama heka 5 nikauza kwa bei ya kutupa milion 9 nikawapa madalali Milion 1 nikabaki na 8 nikaenda, nikapigwa.

Nikafikia hatua mbaya hasa ya kuanza kuuza vyombo vya ndani, nikauza flat, nikauza set sofa nzima hahahaha jamani acheni ndugu nilichanganyikiwa. Mke ananishangaa tu. Mwisho nikasema yatosha, siwezi kuendelea kumfuraisha broker.

Bahati nzuri nilikuwa na pangale halijaisha Kigamboni, nikafanya mpango nikatafuta mteja kabla benki hawajaja kufanya yao, nikauza hii nyumba niliyokopea bei nzuri tukaenda benki Mteja(alikuwa mteja muelewa) akalipa deni la benki tukapewa hati tukaja tukamalizana. Pesa nikapeleka kumalizia pangale nikahamia nikawa nimebaki na kama milion 25 mkononi nikakimbilia kwenye korosho maana ndio ilikuwa biashara yangu kubwa, kilichotokea naamini mnakijua, Mpaka leo ninavyoandika Hapa pesa yangu haijarudi, Vitu ninavyofichukia kwenye maisha yangu kwa sasa ni Magufuli na Forex Mungu awatie lawana hawa mbwa. Leo kula yangu ya mashaka, napigania dadalala?????

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mtoto wa tajiri anacheza Forex, FX sio ishu yakitoto inaumiza akiri na kuitesa naona umeandika uvivu mtu aliyefanikiwa kwenye Forex ni mtu alikita akiri kisawasawa kichwa kilichoelewa FX sikichwa cha kawaida cha kivivu ndio maana nikakwambia usitegemee kumuona mtoto wa MO anakaza medulla yake kuisoma FX yanini nawakati Mtaji tiari anao.

Elewa hiki Forex ni Hustle ya kuRise Fund sasa mtoto wa tajiri tiali iyo Funding power teyari ipo anachohitaji yeye ni ku-start Business tu ila wewe mtoto wa Mzee Dulla lazima uminye mishipa kuRise Fund.
Msimpotoshe huyo jamaa. Forex ni kamari kama kamari nyingine. Wanaofanikiwa ni wachache sana na wengi ndiyo hupoteza.
 
Biashara nyingine zipo mkuu sema unakuta mtu umewekeza muda wako wote kwenye kitu fulani yaani unaweza sema unajua vitu vingi kuacha ugumu upo mkuu.
Pole sana ila nachoweza kukushauri ni hiki: matatizo unayopata siyo kwa bahati mbaya. Wewe ndiyo chanzo cha matatizo yako mwenyewe. Unatakiwa kubadili mwenendo wa maisha yako. Usitake kupata faida kubwa na za haraka. Forex achana nayo kabisa. Hiyo ni kamari kama zilivyo kamari nyingine. Haina ujanja wala haina ujuzi japo wengi wanadanganywa. Fanya biashara za kueleweka. Anza hata na mtaji mdogo. Mwisho usikate tamaa kwani kuna watu wengi wanamekutana na changamoto kuliko zako lakini wakafanikiwa. Ukiwa na afya nzuri ni mtaji tosha.
 
Mimi
Msimpotoshe huyo jamaa. Forex ni kamari kama kamari nyingine. Wanaofanikiwa ni wachache sana na wengi ndiyo hupoteza.
Mimi sijui kuhusu Forex wala betting mimi nimejibu hoja niliyoona haiko sawa maana nafatilia sana mambo yanayoendelea Duniani.

Ulichoandika hakiusiani na hoja yangu.
 
Mimi sijui kuhusu Forex wala betting mimi nimejibu hoja niliyoona haiko sawa maana nafatilia sana mambo yanayoendelea Duniani.
Ulichoandika hakiusiani na hoja yangu.
Mkuu Forex ni Hustle za watoto wakimaskini usitegemee mtoto wa Bakhresa akafanya FX yanini aumize kichwa na Mtaji upo.
Mo angezaliwa ambapo hazipo angafanya FX ila Mtaji kwao ulikuwepo yanini kujiumiza hakuna njia rahisi ya mtoto wa kimaskini kupanda juu either uchague kupanda kwa njia ngumu au ukae na umasikini.
Hakuna mtoto wa tajiri anacheza Forex, FX sio ishu yakitoto inaumiza akiri na kuitesa naona umeandika uvivu mtu aliyefanikiwa kwenye Forex ni mtu alikita akiri kisawasawa kichwa kilichoelewa FX sikichwa cha kawaida cha kivivu ndio maana nikakwambia usitegemee kumuona mtoto wa MO anakaza medulla yake kuisoma FX yanini nawakati Mtaji tiari anao.
Elewa hiki Forex ni Hustle ya kuRise Fund sasa mtoto wa tajiri tiali iyo Funding power teyari ipo anachohitaji yeye ni ku-start Business tu ila wewe mtoto wa Mzee Dulla lazima uminye mishipa kuRise Fund.
wenzako tunashauri MSICHEZE michezo hiyo mnamnufaisha mmoja au wachache
mtoto wa kimaskini yupi anayepata 5M mpaka milioni 70
Ushauri wako wa Mwisho hii michezo ya Cryptocoin na electronic money ni Kamari au sio Kamari
ukiweka jibu hapo ndio nitakuja na maana ya KAMARI ni ipi najua umeshasoma PROBABILITY
 
Kwanini unanikomalia maswali ya iyo kitu Mkuu, wapi nimesema kamari au sio kamari.

Unachofanya kapa sawa na tulikuwa tunazungumzia DSM kwenye uchumi wewe unakuja kuketa habari za siasa.

Hemu Trace hoja then upime nilikuwa tunaelekezana nini na hiki unachoniuliza kinahusiana vipi.

Mkuu tujifunze kuTrace hoja mambo ya kamari sijui Crypto ndicho tukichokuwa tunazungumzia kweli ??

Sawa 70M ni tajiri au unamaanisha nini Mkuu.

Sorry simu yangu mbovu kama ujanielewa basi.

OK nimekuelewa maana mm nimezungumzia post #75 sorry km sikueleweka ulipotoa hiyo elimu Mkuu
 
Back
Top Bottom