Recent content by BillionaireMkubwa

  1. BillionaireMkubwa

    JamiiForums Tanzania Manispaa ya Geita Ipewe Hadhi ya Jiji. Imekidhi Vigezo vya Idadi ya Watu na Mapato ya Ndani na Kuzipita Mbeya na Tanga

    Hivi wewe ulisoma maelezo ya sifa na vigezo vya kupata jiji jipya kweli? Mapato na idadi ya watu ndiyo kigezo? Kasome Sheria ya Serikali za Mitaa ya mwaka 1982.
  2. BillionaireMkubwa

    JamiiForums Tanzania Manispaa ya Geita Ipewe Hadhi ya Jiji. Imekidhi Vigezo vya Idadi ya Watu na Mapato ya Ndani na Kuzipita Mbeya na Tanga

    Wana vigezo nilivyotaja hapo juu. Geita hawana hata nusu ya vigezo hivyo na wala hawakaribii
  3. BillionaireMkubwa

    JamiiForums Tanzania Manispaa ya Geita Ipewe Hadhi ya Jiji. Imekidhi Vigezo vya Idadi ya Watu na Mapato ya Ndani na Kuzipita Mbeya na Tanga

    Majiji Yaliyopewa hiyo hadhi Yana sifa ndiyo maana yalipewa.
  4. BillionaireMkubwa

    JamiiForums Tanzania A FM na C FM waripoti, Mamilioni ya fedha za michango yazua mzozo CHADEMA. Wameamua kutumika kwenye siasa chafu?

    Hii ni 2026 mnaleta propaganda za 2005. Mnakula hela za bure za boss wenu.
  5. BillionaireMkubwa

    JamiiForums Tanzania Manispaa ya Geita Ipewe Hadhi ya Jiji. Imekidhi Vigezo vya Idadi ya Watu na Mapato ya Ndani na Kuzipita Mbeya na Tanga

    Geita Manispaa haina mapato ya bln 27. Hiyo bln 27 ni pamoja na mapato yaliyofungwa ambayo hawayatumii wao. Kwanza Sheria inataka jiji lijitegemee Kwa asilimia 95 kwenye bajeti zake. Kwa Hali hiyo Bajeti ya Manispaa ya Geita ni jumla ya ni Tsh. shilingi bilioni 78.81 huku mapato ya ndani ni...
  6. BillionaireMkubwa

    JamiiForums Tanzania Lissu haelewi kuwa uchaguzi ndani ya CHADEMA uenyekiti ni mgumu kuliko ugombea Urais kachokoza eneo ambalo atapigwa chini

    Mada nyepesi sana hii. Kuongoza chama iwe ngumu kuliko nchi?
  7. BillionaireMkubwa

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya viongozi wa Tanzania

    Watanzania kupata maendeleo utakuwa ngumu sana. Kwahyo hapa unaona umeandika point. Marekani tu msharaha, posho na zawadi anazopata raisi zipo wazi wewe unaongea utumbo tupu!
  8. BillionaireMkubwa

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Nina tatizo LA testicular microliasis
  9. BillionaireMkubwa

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Dawa ya kutibu Testicular Microliasis
  10. BillionaireMkubwa

    JamiiForums Tanzania Kwani Nchi Yetu ni Jalala?

    Mi sijui bwana
  11. BillionaireMkubwa

    JamiiForums Tanzania Kwani Nchi Yetu ni Jalala?

    Ni kweli mkuu, Sijapinga kukosolewa, nieleweke hivyo. Cha msingi hapa siyo kila mara ni Africa tu. Ndo hivyo mkuu
  12. BillionaireMkubwa

    JamiiForums Tanzania Kwani Nchi Yetu ni Jalala?

    Sijapinga kukosolewa, nieleweke hivyo. Cha msingi hapa siyo kila mara ni Africa tu. Ndo hivyo mkuu
Back
Top Bottom