Kwani Nchi Yetu ni Jalala?

Kwani Nchi Yetu ni Jalala?

Joined
Mar 4, 2018
Posts
28
Reaction score
23
Nimesikitishwa sana na kile kilichoandikwa na gazeti la Economist juu ya hali ya nchi yetu.
Nimesikitishwa tena baada ya kugundua kuna baadhi ya watanzania wamefurahishwa na kile kilichoandikwa.
Kiuhalisia tungeungana watanzania wote kulitaka gazeti hilo lituombe radhi.

Swali la kujiuliza hapa Je, ni lini wananchi wa mataifa ya Africa watakuwa na misimamo juu ya mataifa yao. Je ni kweli mataifa ya Africa ndiyo yenye viongozi tu wanaovunja haki za kibinadamu?

Natolea mfano China kumuongezea muda usio na ukomo raisi wao. Sijaona nchi inayokenua mdomo wake kuzungumzia hili. Lakini huku kwetu yanaonekana kama ugaidi.

Ningekuwa raisi wa Tanzania ningeyatimua mashirika yote ya habari kutoka nje hasa DW ambalo linaonekana kuchafua nchi yetu.
 
unataka kuwa mbabe wakati Unasaidiwa na hao unaotaka kuwatimua kuwa mpole tu mkuu mpaka pale unapofikia hatua ya kujitegemea.
 
Kama hilo gazeti la Economist lingekuwa limeandika uongo ningeisimamia haki ya nchi yangu mpaka mwisho, lakini naona limeandika ukweli usio kuwa na shaka hivyo naona wapo sawa, labda wakiendelea kuandika ukweli viongozi wetu wa nchi wataweza kujitafari, sababu magazeti ya ndani yakiandika ukweli huwa yanafungiwa.
 
Kabisa umeandika mada unalinganisha China na Tanzania!!!!! Seriously, ushasikia chini wanatembeza bakuli!!! Hebu saa ingine tuwe serious kidogo tuuuu....
 
kwani yaliyo andikwa ni uongo???
tuanzie hapo??
 
Kabisa umeandika mada unalinganisha China na Tanzania!!!!! Seriously, ushasikia chini wanatembeza bakuli!!! Hebu saa ingine tuwe serious kidogo tuuuu....
Sijapinga kukosolewa, nieleweke hivyo. Cha msingi hapa siyo kila mara ni Africa tu. Ndo hivyo mkuu
 
Kama hilo gazeti la Economist lingekuwa limeandika uongo ningeisimamia haki ya nchi yangu mpaka mwisho, lakini naona limeandika ukweli usio kuwa na shaka hivyo naona wapo sawa, labda wakiendelea kuandika ukweli viongozi wetu wa nchi wataweza kujitafari, sababu magazeti ya ndani yakiandika ukweli huwa yanafungiwa.
Sijapinga kukosolewa, nieleweke hivyo. Cha msingi hapa siyo kila mara ni Africa tu. Ndo hivyo mkuu
 
unataka kuwa mbabe wakati Unasaidiwa na hao unaotaka kuwatimua kuwa mpole tu mkuu mpaka pale unapofikia hatua ya kujitegemea.
Ni kweli mkuu, Sijapinga kukosolewa, nieleweke hivyo. Cha msingi hapa siyo kila mara ni Africa tu. Ndo hivyo mkuu
 
Sijui hapo. Sijapinga kukosolewa, nieleweke hivyo. Cha msingi hapa siyo kila mara ni Africa tu. Ndo hivyo mkuu
lets be honest ndugu yangu kwnai ni uongo tumeshindwa kujitawala mpaka sasa??

sisi ni tegemezi kwao karibia kwa kila kitu kwao,

sisi ndio tunaotumika kujimaliza wenyewe.

sisi (viongozi) ni miungu watu kutokana na mifumo yetu.

maradhi yetu,

ujinga wetu,

ukatili wetu,

unyanyasaji wetu

umaskini wetu

yaan takataka zoote ni zetu kwanini wasituandike??

ishu hapa ni kuhakikisha tunakua civilized kwa tamaduni zetu na kuwahuru na uchumi wetu.
 
BBC, DEUTHCHE WELLEY, VOA, na mashiirika ya habari ya huko nje kwa kuswahili tunaita UKOLONI MAMBOLEO...

wao wanazungumzia matatizo ya afrika tu na hasa kiongozi kama Magufuli anapozuia wao kuchuma mali lazima wamsakame....
 
Back
Top Bottom