Recent content by Billionaire2025

  1. B

    JamiiForums Tanzania Discuss (5 marks)

  2. B

    JamiiForums Tanzania MY MOM

    After the sudden and tragic death of our father, everything changed in our household. My mom, once a devoted and caring parent, seemed to lose herself in grief and uncertainty. Instead of taking care of my siblings and me, she began to focus all her attention on buying unnecessary things to...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Pesa ya kujikimu kwa wanafunzi ipunguzwe wapewe elfu 5 ikizidi sana elfu 6, pia pesa ya books and stationary iondolewe au nayo ipunguzwe.

    My take Kuwe na need ya kuwa na AI hapa jamii forums itakayo filter useless posts like this one. 1. Kabla ya yote bro umesoma wapi, expenses zako zilkuaje. 2. Ume focus kwenye chakula na stationery my brother umesahau kodi,bundle, sanitary equipment and others. 3. Life la chuo ni tough more than...
  4. B

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Vidonge 'Fake' vinavyofonza maji vipo Tanzania, ni hatari kwa Afya

    Before yakuja forward na kuleta taharuki kwa jamii ebu tulia kwanza ufanye research kidogo. Hizi tablets si panadol kama unavuaminisha watu. Ni highly compressed napkins, ambazo ni rahisi kubebeka badala ya kutembea na kitamba, tissue paper. au wipes.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Tanga mna shida gani?

    Let's agree to disagree
  6. B

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Tanga mna shida gani?

    Okay usemacho kina make sense, lakini si kila tulichojifunza shule kina ubaya. 1. Naomba nielezee faida za ukeketaji na kurithi wajane.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Tanga mna shida gani?

    "Never under estimate the power of stupid people in large groups" George Carlin Stupidity makes you dangerous to yourself and everyone around you LUMMOX
  8. B

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Tanga mna shida gani?

    Simple logic na comon sense hai itaji utashi mwingi kujua athari za haya unayo yatetea. 1. Ukeketaji( female genital multilation ) - Ukeketaji unahusisha uondoaji wa sehemu au sehemu yote ya siri ya nje ya mwanamke au kuweka jeraha lingine kwa viungo vya uzazi vya mwanamke kwa sababu zisizo za...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Tanga mna shida gani?

    Skupingi usemachi ni sahihi ila si kila kifanywacho na jamii husika kama sehemu ya mila na desturi ni sahihi. kuna baadhi ya makabila: kukeketa, Kurithi wajane, ni sehemu ya mila zao.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Tanga mna shida gani?

    Absolutely msukumo wa kusaka elimu upo chini sana. Wazazi hawana bidii kusimamia watoto wao hususani wa kike. Nimeshuhudia ndoa kadhaa mabinti wa umri wa miaka 15-16 wakiolewa.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Tanga mna shida gani?

    Bila kusahau mirungi (miraa)
  12. B

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Tanga mna shida gani?

    Hujakosea kabisa. Bila kuwahudumia Note. Siongei kwa chuki wala dhihaka haya nimeya observe kwa kipindi nilichu ishi mkoa huu
  13. B

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Tanga mna shida gani?

    Hili nimeli observe kwenye aspects tatu 1. biashara Wengi wanaoanzisha biashara hutegemea kuaguliwa na waganga na kupewa dawa na kufunga kwenye milango kuchimbia ardhini au kutembea nazo. Mtu anaanzisha biashara hafanyi market analysis, hana bussiness management skills(finances) biashara...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Tanga mna shida gani?

    Sijui ni mila na desturi ama ni mazoea yaliojengeka kutokana na malezi, mazoea yani inshort nakosa majibu. 1. Si jambo la kushangaza mkoani Tanga kumkuta kijana akiishi ukweni pamoja na familia yake (mke na watoto). 2. Vijana hawajitumi kabisa, kutwa wako kwenye mabao ya keram, drafti na vijiwe...
Back
Top Bottom