Acha kujitoa Akili hao wapinzani wakionekana majimbon RPC, OCD, Anawabana utafikiri waalifu...Wakiuzuria mikutano ya kikazi na kiserikali mnakuja na jezi za kijani...Mwenyekit wenu anawatukana...Siasa za hoja ccm Ni weupe Safishen upinzani kwa mtutu wa Bunduki...SI mnatumia dollar kubaki madarakan!!
Upinzani wanatoa wapi! pesa ya kufanya maendeleo!! Kazi ya upinzani Ni kutoa hoja na kuishauri serikali kutekeleza wajibu wake embu nenda kwenye kumbukumbu za Bunge angalia michango ya wabunge wa upinzani,
Alafu ujiulize Kama serikali ingekuwa inafanyia kazi tungekuwa tumepiga hatua kiasi...
Nenda machame au meru kaoe Mwanamke mwingine ukishamkabidhi pesa kutoka mpaka damu imwagike...jokes Pole mkuu ilo siyo tatizo lako peke yako Ni almost wafanyakazi wote...Ufumbuzi wa Kwanza tayari umeshaupata kitendo Cha kujiuliza hivyo tayari upo karibu kupata Ufumbuzi...all the best mkuu.
Hata asingekupa iyo dawa Kama muda wa kuuza ungefika kiwanja kingeuzwa tu...Vipi siku Mambo ya ndoa yakiharibika ukaenda Mganga akasema umtengee apple alionjee ndo dawa utakubali!: Alafu tuambie pia matumizi ya hizo pesa yalikuwaje! Sikupingi Imani yako but nakushauri tu Toa Tumain lako kwa...
dudu jeupe,
Vipi Kama wapo swimming club za shule home Wana jifunza karate na mafunzo ya ukakamavu, wanakwenda kucheza tenesi na wenzao wa gate Kali...
Yaani sijakuelewa unataka wacheze na watto wa mitaani, Yaan wale watoto wasio na heshima Wana matusi mazito na tabia mbovu na adabu...
Shule inaweza isiwe na umuhimu kulingana na mtazamo Wako! But maarifa ni muhimu Sana ndio maana uliamua kujisomea vitabu ili kuongeza ufahamu sasa unapo shauri vijana wenzako kwamba shule ni kupoteza muda unakuwa haupo sawa..Ni rahisi mtu aliyesoma Shule kujifunza na kujisomea mambo mbalimbali...
Mifumo mibovu ya serikali ya kijani..ndo matokeo yake haya...Afisa nyuki mjini ana majukumu Gani!! kwa Nini wasipelekwe mahali Wana Tija wakaongeze utendaji!! PhD zetu zinapaswa kuchunguzwa..hiyo mishahara ingepelekwa kwenye miradi ya uzalishaji Ingekuwa na Tija...
Mkuu mada nzurii sana hii..kitu kingine cha muhimu kuzingatia kwa mdai ni kuepuka kutoa maneno ya vitisho kwa mdaiwa..mf nitakuua, utaona, nk.... Experience inaonyesha wadaiwa, Ni watu wenye madeni ya watu wengi, Sasa ikitokea katika wadai wake 1 Uvumilivu ukamshinda akamfanyia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.