Msaada kuna wimbo mmoja wa kikongo anaimba mwanamke, ni wa taratibu sana na ingawa sielewi kinachoimbwa lkn ni kama ya huzuni.
Radio free wanapenda kuitafsiri kipindi cha bolingo time hata mwaka huu wameifanyia tafsiri
Si mnaona ni sifa kufuga mavitambi kwamba ndo ishara ya utajiri. Unakuta mtu kijana kabisa mtumbo huo kama ana mimba ya kujifungua kesho. Hafanyi mazoezi wala kazi za kumshughulisha kwa kigezo cha kujipata, upuuzi mtupu.
Habari za muda huu wana-JF.
Kuna tukio lililowahi kunitokea ambalo mpaka leo linanifanya niitafakari namna tunavyopima akili za watu katika jamii yetu.
Kipindi cha awamu ya tano, wakati nikiwa mwanachuo mkoani Dar es Salaam, nilikuwa na rafiki yangu ambaye alinieleza kuhusu fursa ya kununua...
Kuna jambo ambalo nimekuwa nikilitafakari kuhusu tabia za watu katika jamii yetu.
Tunapozungumzia rushwa, unafiki, ubinafsi, udanganyifu na kupotea kwa uaminifu, mara nyingi tunahitimisha kwamba watanzania ni wajanja wajanja na matapeli kwa asili.
Lakini je, tumewahi kujiuliza kama mazingira...
Wengi wetu tulilelewa na wazazi waliofanya kazi kwa bidii ili kuhakikisha tunapata chakula, elimu na mahitaji muhimu.
Baadhi yao walijenga nyumba, mashamba au biashara. Wengine hawakufanikiwa kupata mali nyingi kwa sababu ya kipato kidogo, majukumu makubwa au changamoto za maisha.
Tunapokuwa...
Hapana huyo awe na changamoto ya afya ya akili.
Solution ya tatizo wanawake mjifunze kuishi bila kumtegemea mwanaume, hapo utafanya ufirauni wote utaotaka, but if you are under someone kiuchumi, abide to his wishes, its the only option for you to be safe.
Mishangazi yenye maisha yao ni mingapi inauliwa? Yaan Dr. Mariposa wanawake wanaoendesha maisha yao bila kumtegemea mwanaume kama unavyodai ni mwanaume gani atakuua hata kama utamfanyia ujinga? Be realistic
Wanawake mpunguze tamaa. Shida inaanza mnapofanya ufisadi kwenye jasho la mtu, kakuhudumia kwa gharama kubwa kwa ku sucrifice mambo mengi ya maana, at the end of the day unamuona takataka, ni wangapi wata take easy?
Wanawake mjifunze kuishi at your own cost in order to be free of man's...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.