Bikra unayo
JF-Expert Member
- Mar 24, 2026
- 541
- 1,988
As a country we need that statesman
Usituwakilishe hatujakutuma. Mtake wewe na chawa wenzio.
As a country we need that statesman
SiaminiHii taarifa kwani ni ya kweli??
Wanapima upepo?Hamna kitu kama cha hivyo hakuna anayeumwa hii ni michezo ya TISS
Nani atatangaza?Mama yupo eda..Wanashikiria mitungi ya oxygen yanini? kipasuke tu kale kagari kamizinga katapata kutu maninner.
Ila wabongo! AyaNdio maana nimeota kusanyiko uwanjani😳😳😳 huwenda ni yeye au babu jaji ila kwa vyovyote kusanyiko lipo
Na waziri mkuuKale gari ka mizinga huwa kana wahusu Rais, Makamu wa rais, Rais mstaafu au Mkuu wa Majeshi basi.
GirisonNani atatangaza?Mama yupo eda..
kwanini asiwazie?mbona yupo late 60 lakini anashiriki kuua na kutesa wengine?Ramli za watu wajinga MTU yupo late 60s bado unamuazia kifo
Wakati kaishia zaidi ya miaka 60s
Sidhani kama Doumbia safari hii atapiga njee..Wanashikiria mitungi ya oxygen yanini? kipasuke tu kale kagari kamizinga katapata kutu maninner.
Sawa mzunguIla wabongo! Aya
Huyo msoga tutakufa wote yeye tutamuacha.Jaji au msoga?