tunachohitaji tanzania ni zaidi ya watu,hawa wote wamekuwepo kwenye uongozi kwa muda kitambo sasa, lakini mambo hayaonekani kuboreka,kila siku inayopita,inaonekana hata jana ilikuwa bora zaidi....., tanzania tunahitaji sera mpya, mtazamo mpya, vision, na utekelezaji wa mambo kiupya,, hatuhitaji...