Kwa Lowassa, mwenye macho haambiwi tazama

Kwa Lowassa, mwenye macho haambiwi tazama

Very clear but grossly very wrong

We ni moja wa watz wachache wanaoelewa why nchi ni maskini na nini kifanyike, wengi hawaelewi including mr dhaifu na aliwahi kukiri kuwa hajui why Tz ni maskini, big up mkuu
 
Mkuu Kaumza,

Me nimekubali sana hayo maandishi yako umeelezea vizuri sana kuhusu Lowassa, na kama hao Wapinzani wake wanasifa kama zake mbona hatuzioni, Jamaa Jembe, Nlikuwa namuuliza jamaa yangu Membe amefanya kipi katika nchi hii kinachomfanya aone anasifa ya kuwa rais ila jamaa alichoniambia ni kuwa eti ni kwa sababu ni waziri wa mambo ya nje na hivyo anasifa ya kuwa rais, tukumbuke kuwa alikuwa naibu waziri wa Migiro so ambaye tungetarajia kutajwa ni Migiro na si yeye kwani yeye hata unaibu aliupata kwa uswaiba na pengine undugu na mukulu ila leo kifua mbele naye urais anautaka.

My take, kama CCM wanaitaji kweli chama kiwe imara ni kwanza kuondoa ukasuku, wivu, fitina na unafiki baina ya viongozi wake. Nasema hivi kwa sababu kwa mtu makini anaweza kung'amua ya kwamba anayeharibu CCM ni wanaccm wenyewe tena viongozi waandamizi ambao wametanguliza maslahi yao mbele kuliko ya chama.

Kumza, ni kitu cha ajabu sana leo kuona kiongozi wa ccm akimwita mwenzake fisadi tena bila uthibitisho ila kumbe nyuma ya pazia ana agenda binafsi.. Yaliyompata Edward yalipangwa na wahusika wanafahamika na hii imekuwa laana hata kwa serikali ya Jakaya, wote tunakumbuka wakati Edu akiwa waziri mkuu spidi ya maisha bora ilionekana ila baada ya kuondoka mambo yakapwaya.

Kingine ni urafiki wa mashaka kati ya Mukulu na Edu kuna kila dalali hawa jamaa hawaelewani, na hii inaonyesha wazi kuwa yale maneno ya Edu aliyoyatoa NEC yanaukweli kuwa hausiki na Richmond na kwanda alishamwambia rais wavunje mkataba ila akasema wavute subira...inawezekana kabsa kwamba muhusika bado yu ndani ya serikali.

Lowassa ni Jembe, anayesema mla Rushwa toa ushahidi kila aliyewahi kufanya naye kazi anamsifia na kila ambaye ameuona utendaji wake unavuta, ni mvumilivu si mropokaji kama wapinzani wake...AKIGOMBEA NITAJITOA MIA KWA MIA KUMPIGIA KAMPANI BUREEEEE.....KWA MANA I AM SURE HE GONNA PROVE PEOPLE WRONG, VIVA EDWARD LOWASSA

Lowasa ni mwizi, period! Kama si mwizi - kwamba tuhuma za ufisadi juu yake ni hisia tu- mbona hakuweza kueleza chanzo cha utajiri wake wa ghafla alipoulizwa na Mwalimu 1995?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Lowasa akiwa Rais nchi yetu itapona ugonjwa wa utoto na ujinga wa kisiasa...
 
Lowasa ni mwizi, period! Kama si mwizi - kwamba tuhuma za ufisadi juu yake ni hisia tu- mbona hakuweza kueleza chanzo cha utajiri wake wa ghafla alipoulizwa na Mwalimu 1995?

Mkuu,
mambo mengine ya ajabu sana, tukumbuke ni Mwalimu aliyekatisha likizo yake huko Butiama kwa ajili ya kuja kumwokoa Mzee Rupia cadre wa chama na ambaye Sokoine alikuwa amemtia ndani kwa ajili ya uhujumu uchumi, my point is hayo ni maneno tu watu wanasema kuhusu Mwalimu na Yeye ni Mwanadamu mwenye mapungufu kama wengine, naye aliwai kusema wazi kuwa wakati wake alifanya mazuri na mabaya mfano. kuna hii kauli eti Mwalimu alisema hakuna mchaga, Mnyakyusa na Mhaya atakaye ongoza nchi, haya ni maneno ya kizandiki na kama alisema basi alikuwa na matatizo makubwa kuliko tunavyovikiria.

Nakupa mfano, Mwaka 1987 mwalimu akiwa Ghana kwenye kumbukumbu ya kifo cha Kwame Nkrumah alikiri mwanzoni mwa 1960's wakati wa Afrika wakita kuungana na kuwa dola moja huku Nkrumah akitaka immediate union wakati Nyerere akitaka gradual process ambayo baadaye iliungwa mkono na mwisho ilishindwa naye alikiri ya kwamba alikuwa hayuko sahihi, Mantiki yangu ni kuwa Mwalimu ni binadamu labda angekuwa hai leo angekuwa na mawazo tofauti kutoka na hali ya kisiasa na kiuchumi, INAWEZEKANA KAMA ANGEKUWA MZALENDO LABDA LEO ANGEKUWA CHADEMA, mana CCM ni majungu,fitina na ubaguzi tupu hakuna la maana na hiyo ndo dhambi inayoenda kuiondoa ccm madarakani mwaka 2015

Lowassa mwizi, hii ni hisia kwa sababu hakuna mahamakama iliyomtia hatiani kwa kesi yeyote na hata profile yake katika wizara alizopitia ni bora na nzuri kuliko wengine wote CCM wanaotajwa kuutaka urais.

Pili, Kama Mwalimu alimuona Mwizi ni vipi kumwacha kuteuliwa kuwa waziri katika serikali ya Mwinyi na Mkapa???? tuache unafiki, mbona alimkataa hadharani Malecela.. Nyerere alikuwa na ushawishi mkubwa ndani ya chama hata kuweza kushawishi Mkapa kupeta kuwa mgombea na baadaye kuwa rais wa nchi, sasa kama alimuona Edward hafai ni vipi kumwacha kuwa waziri?? Angewapendekeza basi hao wakina Sitta na Membe badala ya Lowassa..

MY take, Tusipende kujinufaisha na kupotosha ukweli kuhusu Mwalimu hasa kwa sababu hayupo tena, tuangalie utendaji wa watu, nia na uwezo wa kuongoza na si vinginevyo..USHABIKI NI SOKA ILA SIASA NI UZALENDO HASA PALE INAPOKUWA KUSIMAMIA MUSTAKABALI WA NCHI.. VIVA TANZANIA
 
Jibu swali nililokuuliza. Lowasa aligombea urais 1995, akaulizwa chanzo cha utajiri wake wa ghafla. Alijibu au ameshajibu? Hayo ya uwaziri Mwalimu hakuwa rais at that time, na Mwalimu alivyokuwa muadilifu asingeingilia utendaji wa mtu.
 
me cko huko me mpitaji tuu na nna mtazamo wa chadema...umekosea tayari
Hapa genge la Membe limeanza kuweweseka!! Na nyinyi muwaajiri waandishi mamluki wampambe pimbi wenu kuwa anafaa kuwa Rais; upambe wa Ritz peke yake hautoshi kumvusha kwani Mmasai ameamua kuchukua kiti baada ya mkweree kurudi Msoga!!!
 
tunachohitaji tanzania ni zaidi ya watu,hawa wote wamekuwepo kwenye uongozi kwa muda kitambo sasa, lakini mambo hayaonekani kuboreka,kila siku inayopita,inaonekana hata jana ilikuwa bora zaidi....., tanzania tunahitaji sera mpya, mtazamo mpya, vision, na utekelezaji wa mambo kiupya,, hatuhitaji sura mpya katika mfumo uleule uliofeli,,wewe unaongelea habari ya sura kaka,, hatotutoa hapa kwenye mkwamo....
 
Back
Top Bottom