Recent content by Bigsteve

  1. B

    JamiiForums Tanzania Uliza swali lolote juu ya afya ya ngozi

    Nina mtoto wa miezi 3 anasumbuliwa na vipele vinakua kama majipu kichwani,atumie dawa gani,je joto linaweza kuwa sababu?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

    Dr mambo vp, Mwanangu wa miezi 3 anatokwa na mapele makubwa kichwani kama majipu yanatengeneza usaha na kupasuka yenyewe,sijampeleka hospital ila watu wananiambia sababu ni joto. Je kuna ukweli wowote katika hilo na kama siyo nitumie dawa gani majipu hayo yaondoke?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Urgently: Gari za kubeba mzigo wa transit zinahitajika

    Habari zenu wakuu, Kuna kazi ya kusafirisha Contena 19 za 20ft Kasama ZAMBIA,mzigo uliomo ni MBOLEA. Natafuta gari 19 zenye uwezo wa kubeba contena za 20ft kupeleka na kuzirudisha.Yeyote mwenye connection na mwenye gari anicheki tufanye kazi.Tunalipa $3500 kwa kila gari.Advance tunalipa 70%...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini wagonjwa wa Kisukari hukatwa miguu na si mikono au kiungo kingine?

    Wakuu sukari ni ugonjwa hatari sana,life style yetu vijana pombe kwa wingi na lishe mbaya zinazotufanya tuvimbe matumbo na kujiona tuko safi ndo hupelekea ugonjwa wa Sukari. Kama hujawi kumuona mgonjwa wa sukari anavyoishi unaweza usielewe. Ni vyema uzingatie lishe bora epuka overweight,punguza...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Je, nitumie mbao gani kutengeneza frame za milango na milango bora?

    Kuna fundi nilimpata akanishauri nitumie Mnangu au Mtondoro kwenye frame,sijajua ubora wake. Kwa top ameshauri kwa uwezo wangu wa kifedha nitumie Mpodoo je mlango utakuwa na ubora wowote?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Je, nitumie mbao gani kutengeneza frame za milango na milango bora?

    Nashukuru mkuu, Nimekusoma
  7. B

    JamiiForums Tanzania Je, nitumie mbao gani kutengeneza frame za milango na milango bora?

    Hio 800k ina maana itajumuisha gharama za frame na milango 2
  8. B

    JamiiForums Tanzania Je, nitumie mbao gani kutengeneza frame za milango na milango bora?

    Habari wakuu,natumaini mko poa.. Nina ishu ktk kumalizia kibanda changu, nahitaji frame za milango na milango/top kwa ajili ya milango ya nje miwili mkubwa (double) na mdogo wa kawaida. Kwa wataalam naomba ushauri 1. Ni mbao zipi zinafaa kwa ajili ya frame na zipi kwa ajili ya milango/top...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kuvuja oil katika Cylinder head.

    Nina tatizo hilo pia kwa gari yangu. Plz mtaalam atushauri ili kutatua tatizo hilo
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nafsi inaniuma kwa kushindwa kumssidia asiibiwe

    Kama we ni mwanaume hii ni aibu sana ni bora hata usingethubutu kuhadithia upuuzi kama huu,ulipaswa kumwambia mwizi rudisha kimyakimya asingekataa angeona noma na kwa hofu ya kupigwa angerudisha angalau ungekua umemsaidia huyo mama kuliko kuja kueleza vitu kama hivi
  11. B

    JamiiForums Tanzania Msaada please. Nimeagiza Gari kutoka Singapore

    Mkuu jiandae kufanyiwa kitu kinaitwa Destination Inspection(DI),hii ni baada ya kujaza form ya DI ambayo agent wako ataichukua TBS.kuna gharama za kulipia DI ikiwamo Inspection fee, sio hela nyingi sana.Kujiridhusha fika ofisi za TBS pale posta jengo la Diplomatic house
  12. B

    JamiiForums Tanzania Nishaurini: Nimegundua pesa ninazompa anahonga mwanaume mwingine

    Hahahaaa Poa ntakuletea
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nishaurini: Nimegundua pesa ninazompa anahonga mwanaume mwingine

    Hapo ulipo unapajua mwenyewe dogo,japo unalazimisha tupajue Kusadikika... Wanaousoma mchezo ni watazamaji,mchezaji ni ngumu kuelewa
Back
Top Bottom