Recent content by bigshoo

  1. bigshoo

    JamiiForums Tanzania NEC, ZEC na CCM wameumbuka kwenye uchaguzi mkuu Tanzania 2015

    Kauli mbiu ickuchanganye....hapa kazi tuu......kazi yenyewe iko wapi?....izi misemo inawachanganya sana wtz....tumeckia mengi sana na sasa ni wakat wa mabadiliko
  2. bigshoo

    JamiiForums Tanzania Serikali iwaheshimu wananchi, ifanye yafuatayo

    Kuna ukweli mzuri apo......tunafanya aya coz tunaongozwa na katiba mbovu iliyopitwa na wakati....haiendani na mazingira ya sasa
  3. bigshoo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume anayetaka mwanamke bikira

    Hatari sana kuwa na bikra kwenye umri huo.....labda ya kutengeneza
  4. bigshoo

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye maji ya shingo Mtama

    Bora ashindwe kabisa maana amefanya siasa ya Tanzania kuwa sehemu ya kuropokea pacpo kufikiria
  5. bigshoo

    JamiiForums Tanzania Kulala kwa Lowassa Msibani kuwe Funzo kwa Wapiga kura Tanzania

    Acha maneno ya kuunga unga wewe kuwa na ficra mbadala ....kazi kuropoka tuuu ....ucngiz ni jambo la kawaida......ujui uchovu wa Kampeni wewe kaxi kutanua mdomo tuuu pacpo kufikiria
  6. bigshoo

    JamiiForums Tanzania GE2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

    Mnaitaji kukombolewa kifcra
  7. bigshoo

    JamiiForums Tanzania GE2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

    Unajidanganya wewe
  8. bigshoo

    JamiiForums Tanzania Tuliposema kuwa Mbeya sio ngome ya Upinzani nadhani hatukueleweka

    Unaitaji maomba ya kina zaid
  9. bigshoo

    JamiiForums Tanzania Naipa Serikali Siku 7, kama Mkuu wa Majeshi hatajitokeza...

    Batili .......awazi mbele kabisa ....upo tuuu kutimiza ratiba ya kulala na kuamka.......funguka kifra wewe acha mgando wa akili
  10. bigshoo

    JamiiForums Tanzania CCM itashinda kihalali bila goli la mkono

    Ni kweli jamaaaa hana sifa iyo zaid ya kuwa mkandarac aise
  11. bigshoo

    JamiiForums Tanzania Paul Kagame umeongea ukweli hataki unafiki!

    Kagame amesema ukweli
  12. bigshoo

    JamiiForums Tanzania Ni Saa 144 za Kifo cha CHADEMA

    Una ndoto za mchana wewe
  13. bigshoo

    JamiiForums Tanzania Wiki ya kwanza ya mwezi Septemba, UKAWA watapatwa na mtikisiko Mkubwa sana ambao haujawahi kutokea

    Huna jipya....ndoto za mchana zinakusumbua
  14. bigshoo

    JamiiForums Tanzania Kimoyomoyo ninaumia na mambo ya jana katika uzinduzi wa Kampeni za CHADEMA/UKAWA

    Mwanaume wa kweli hana umbea........direct kwenye point na cyo porojo zizizo na maana....amka wewe kijana acha kupenda uswahili mwingi.
Back
Top Bottom