Recent content by Bigsamkatty7819

  1. Bigsamkatty7819

    Mwenye kumfahamu Mtanzania huyu mkazi wa Magomeni, anateseka nchini Pakistan

    Hivi mtu Unakubali vipi kuwekwa bond?? Si ujuha huo, Una uhakika gani jamaa atarudi?? Imekula kwake...
  2. Bigsamkatty7819

    Neema kwa wafanyakazi yatangazwa na Rais Magufuli

    Nashangaa watu wanafurahia hii 2% wanafikiri nafuu ya kodi ni kubwa. Nafuu ya kodi ya kiwango cha juu kabisa ni shilingi 3800/= tu, wengine nafuu itakuwa chini ya hapo, kwa mfano mtu anayepokea 250,000/= nafuu ni sh. 1,600/=tu,
  3. Bigsamkatty7819

    Rais Magufuli: Askari wa Usalama Barabarani aliyetukanwa na Mke wa Waziri apandishwe cheo

    Na madaktari wanaopigwa na viongozi wa serikali mbona hawapandishwi, au huo siyo udharirishaji?
  4. Bigsamkatty7819

    Leo ni siku ya nne ya ndoa yangu

    Usifurahie sana, bado mapema sana, siku 4 tu?
  5. Bigsamkatty7819

    Kijana ni nani? EATV hawafahamu au makusudi?

    Mbona naona mauzauza, umesema kwa ulaya na marekani ndiyo wangeitwa vijana lakin bado unasisitiza kuwa EATV wako sawa??
  6. Bigsamkatty7819

    Vitu ambavyo vingefanyika kama Mungu angekuwepo kweli

    Wewe unayesema hakuna Mungu jiangalie sana...
  7. Bigsamkatty7819

    Vitu ambavyo vingefanyika kama Mungu angekuwepo kweli

    Singer, John Lennon (1966) Some years before, during his interview with an American Magazine, said, 'Christianity will end, it will disappear. I do not have to argue about that; I am certain. Jesus was ok, but his subjects were too simple, today we are more famous than Him.' Lennon, after saying...
  8. Bigsamkatty7819

    Je, ni sehemu/mahali gani naweza kupata exposure ya kimaisha?

    Yaani wewe jamaa una mawazo ya kisekondari kabisa...
  9. Bigsamkatty7819

    Ni Nyipo za Mapenzi Ambazo Zinaukuna Moyo Wako Ila Hazitengenezea Video?

    Kwanini kabla ya kupost usiangalie kwanza kama ulichoandika hakina makosa ndiyo upost? why the rush???
  10. Bigsamkatty7819

    Nimeelewa kwanini Kagame alitudharau

    Ni broken gani aliyepiga hapo sasa??
  11. Bigsamkatty7819

    Astrophysicist: Mwisho wa mwezi huu waweza ukawa ni Mwisho wa Dunia

    Dah ina maana dunia iishe bila kuwahi kugegeda hata mara moja? Haiwezekani...
  12. Bigsamkatty7819

    Wanaume mnaoenda chini ya dakika 30, hivi mnajielewa kweli?

    Wewe unayetaka zaidi ya dk 30 ndiyo una tatizo, na sijui kama unalielewa hilo...maana dk 30 unagegedwa na hujakojoa ni tatizo...
Back
Top Bottom