MGOGO27
JF-Expert Member
- Jan 5, 2016
- 459
- 217
Jana nilikuwa naangalia habari kwenye mitandao nilipofika kwenye page ya EATV nikakuta wameuliza kuhusu viongozi ambao ni vijana wakawa wamewaweka hawa kama ndo viongozi wenyewe(VIJANA)wakawa wanauliza nani mkali wao(mwenye ufuasi mkubwa)
Sasa najiuliza swala hili kwa wanajamvi KIJANA NI NANI ndugu zangu na SHERIA inasemaje kuhusu hilo maana naona watu waliopita miaka 35 wanaitwa ni vijana,EATV hawajui au ndo kupotosha umma??
Sasa najiuliza swala hili kwa wanajamvi KIJANA NI NANI ndugu zangu na SHERIA inasemaje kuhusu hilo maana naona watu waliopita miaka 35 wanaitwa ni vijana,EATV hawajui au ndo kupotosha umma??