Mnakumbuka siku sugu amewabania kuongea jukwaani uchawa wao? Pale ndo walikurupuka na huu mkurupuko wao, fid na Madera ni machawa wanna be sema ni washamba by nature (default)
Mimi na wewe tunaishia hapo umeanza kutumia hisia,nafkir umejionea watukanaji pia ni akina nan,kugo personal naeza ila tukiwa face to face,kiamani nakubali kutokukubaliana na ww, Good day genius
SGR are you serious ndugu yangu? Ebu fanya research kbl ya kuongea maana nna uwakika hii Mikopo kama umeila ni hela ya mboga na vocha umepata, jiulize kbl ya mama samia kurud nyuma maendeleo kiasi gani yalifanyika Kwa kiasi kile cha Mikopo then kipindi ichi kwa Mikopo aliyochukua mama samia Kwa...
Umemskia pm recently eti wamekamata mtu alikuwa alipwe one million USD na waliomtuma wamejulikana makazi yao hii kauli bana genius imemake sense kwako? Alf hao wanaoenda kwenye mikutano ya pm wakatatuliwa mashida zao una ushaidi huo wametatuliwa? Mind you ni mifumo iliyofail na usimamizi wa ovyo...
Tatizo la ujinga ni elimu inayotolewa na hao unaowatetea,ivi inakuingia Akilini mtu hajui atakula nn aache kazi yake itakayompa ridhiki ya siku iyo aende kwenye mkutano wa cdm? Kama jibu ni Ndio them VP kuhusu mikutano ya pm? Na vp izo magufuli day waanapo acha kazi kuja kufanya usafanya usafi...
Wanajuta kukuta haki haipatikani kwa amani tumevuka imani... nakatisha kwenye shamba la pamba huku nikijiuliza tatizo ni nn viwanda au umasikini ona tuna madini ona nasema nn..... Bunduki hadi ibadani jiulize nan muhuni....Tunasonga Kwa mwendo wa farasi au kinyonga Kwa kunyongwa au risasi maasi...
Wakurya ni wakabila kinyamaaa ayo mengine nakubali alaf wanawake zao ni vingnganizi atar alf wavumilivu mbaya kabisa alaf wazur sema sasa wanakatwa viutamu,alaf wanaume zao ndo wambeya wana vimdomoo kuliko wanawake, bora mzaramo mwanamke kuliko mwanaume wa kikurya Kwa umbea nimeishi nao sana uko...
Mkula angemaliza tu tumbless ama hana mpango wa kuleta tena story apa, ujue alikuwaga na mavyeo plus manyota kama yote kutoka kwa maraia,for the very first tym jf nlituma muamala maali ili kusupport kitu ni story Za uyu mwamba, alikuwaga unique but now
WATANZANIA WA JAMII FORUMS NAWAOMBA NA KUWASHAURI WATU WA AINA HII TUWAPUZE NA KUWAPOTEZEA MAANA CHOCHOTE MNACHOANDIKA KWENYE UZI ZAO NDO KINACHOWAPUSH KUENDELEA KUPOST MAUONGO, MAUONGO YAKISEMWA SANA HUGEUKA KWELI KWA MUDA NA MAZOEA HUTENGENEZA TABIA, WANATUONA WAJINGA SANA WAO WANAFAIDI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.