Recent content by BigFish Classic

  1. BigFish Classic

    Yussuf Poulsen: Mtanzania anayekipiga na Timu ya Taifa ya Denmark

    Poulsen is the son of a Tanzanian father and a Danish mother.His father died of cancer when Yussuf was only 6 years old.
  2. BigFish Classic

    Nilitamani kumuoa akaishia kuniuzia penzi

    Nilimwandikia hivi “au unamaanisha tukaenjoy penzi my dear?” alinipigia simu akajibu hivyo hivyo unavyoelewa na akakata simu. Mkuu hujaelewa nini hapo? Au hukusoma kwa umakini!?
  3. BigFish Classic

    Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    Minimum entry qualification ni Biology C, Chemistry C na Physics/Engineering Science D. So jiongeze mkuu unless otherwise walioomba wawe na sifa pungufu ya hizo.
  4. BigFish Classic

    Hongera Azam Tv kwa Channel Mpya 'Azam Sports HD'

    Hicho kinalipiwa tofauti na vingine. Cheki hii code *150*00*5# utapata maelezo na ujiunge cha Azam Sports HD kwa 15,000
  5. BigFish Classic

    Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    Jamaa yuko sahihi ila kuiweka sawa ni hivi. Technical Education iko ktk utaratibu wa NTA levels. Unapohitimu certificate unakua NTA level 5 na Diploma ni NTA level 6 so, unapoanza mwaka wa kwanza unakua NTA level 4 na hapo unapata Basic Certificate ya unachosomea. Mwapa wa pili ni NTA level 5...
  6. BigFish Classic

    Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    Huyo mdogo wako alipata Kibaha kwa njia za kawaida au alipita mlango wa nyuma?
  7. BigFish Classic

    Majambazi wakamatwa baada ya kupora fedha Sinza Dar

    Polisi jijini Dar wamewakamata watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi wakiwa katika jaribio la kuiba pesa katika benki ya NMB iliyopo Sinza-Mori, Dar es Salaam.Tukio hilo limetokea mchana wa leo katika Benki ya NMB tawi la Sinza-Mori jijini Dar ambapo majambazi hao walikamatwa wakiwa katika harakati...
  8. BigFish Classic

    MwanaJF mwenzetu kavamiwa na wezi na kukatwa katwa Mapanga

    Pole sana ndugu. Mungu akujaalie upone mapema.
  9. BigFish Classic

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Habari wanajamvi. IDARA YA MSINGI Nipo KATAVI-MPANDA natafuta Mwl. wa kubadilishana nae kituo cha kazi kutoka IRINGA, NJOMBE au MBEYA (Wilaya ya MBOZI, MOMBA, RUNGWE au ILEJE). Mawasiliano: 0767 589 452
  10. BigFish Classic

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Wadau, anayehitaji kubadilishana kituo cha kazi Idara ya Sekondari. Aje TANDAHIMBA-MTWARA mimi niende MANYARA au ARUSHA. Namba: 0757 341 458
  11. BigFish Classic

    Mwalimu mpya majanga!

    Fuata yako. Ukimshindwa omba uhamisho
  12. BigFish Classic

    Nafasi za kusomea elimu ya afya hewani tayari!!! Ingia

    Kwa viwango vipya; 'E' ni 'unsatisfactory'
  13. BigFish Classic

    Nafasi za kusomea elimu ya afya hewani tayari!!! Ingia

    MUHAS wameshatoa tangazo. Mwisho 31/05/2014
  14. BigFish Classic

    Dr. Slaa aibuka Chalinze na kufunga kampeni za CHADEMA kwa kishindo!

    Kwani kijiji cha Msoga kipo jimbo gani? Leo amepiga kura jimbo la Chalinze kumchagua mgombea wa chama chake.
Back
Top Bottom